Ndani ya Katiba: Tai nyekundu kuwa vazi la Mwenye Mamlaka imeandikwa kwenye ibara gani?

Mdee ni mbunge wa CCM.

Mdee hajawahi kuwa mpinzani tokea atoke serikalini na kupewa ubunge wa viti maalumu Chadema 2005!
Inawezekana CCM sasa mnamdharau sana Halima Mdee. Katema sumu zaidi ya miaka 10 na kupata adha za namna kadhaa lakini kwa mamlaka ya Hayati Jiwe mkafanikiwa kumnasa na kumuingiza ndani ya kiota (viti maalum visivyojulikana).

Sasa hata akidemka kichwa chini miguu juu na sauti ya mikwaruzo hamsumbuki tena. Kelele zote na kashkash zote zinaishia ndani ya kiota. Very sad 😔. Hana madhara tena. Eti mbunge wa CCM!
 
Aibu kubwa sana
 
Back
Top Bottom