Ndani ya Katiba: Tai nyekundu kuwa vazi la Mwenye Mamlaka imeandikwa kwenye ibara gani?

Ndani ya Katiba: Tai nyekundu kuwa vazi la Mwenye Mamlaka imeandikwa kwenye ibara gani?

[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Ujanjaujanja Kama Wakati Ule Wa Zamani Eti Mkichinja Kuku. Baba Lazima Awekewe Mapaja [emoji28][emoji23][emoji2]
Ndiyo Haya Ya Bungeni.
 
Labda diplomasia ya Lumumba.

Angali wakati Rais wa Marekani anahutubia bungen la Congress utaona wabunge na karibia watu wote wamevaa tai nyekundu.
Ni suala la kiitifaki.
Hii inatokana na utamaduni wa kidiplomansia.
Spika wa Bunge yupo sahihi kiitifaki
Na pale ametoa utaratibu wa kiitifaki.
 
Hivi itifaki hazimo ndani ya Katiba ?

Sio kila kitu kipo kwenye katiba
Licha ya ukubwa wake, bunge linaongozwa kwa kanuni ambazo hazipo kwenye katiba.
Ndio mana nimesema hapo juu kuwa kwenye nyanja ya diplomansia, kuna mambo tumekubaliana nayo kama sehemu ya itifaki.
Ila hazipo kwenye katiba.
 
Mambo ya kukariri wazungu wamesemaje!! Tuache mambo za kijinga
 
Hizo ni sheria/kanuni za uvaaji sio sheria/kanuni za nchi.

Tai nyekundu ni ishara ya kimamlaka hii ni kweli ia ni kwenye kanuni za uvaaji ambazo mara nyingi serikalini huko utakuta kwenye mambo ya protokali wala huwezi kufungwa Tz kwa hili la tai nyekundu

Ni sawa na Bowtie/ Tai popo/ Kipepeo hii inavaliwa kwenye sehemu zinazoruhusu maongezi ya kirafiki/kawaida au hafla za kawaida. Hatutegemei kumuona mbunge kaingia bungeni na bowtie/tai popo/kipepeo. ndio maana mara nyingi zinavaliwa na wahudumu wa hotel au migahawa.

Ni elimu ya macazi na uvaaji wake tu mkuu ambayo ni muhimu kwa viongozi hasa wakisiasa na kibiashara pia.
 
Asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.
Uzuri maza anajua propaganda za vijana wa marehemu dikiteta magufuli
 
Tumeonywa mara nyingi sana na wanasheria kwamba kutokujua sheria , iwe kwa sababu ya elimu yako duni , uzembe wako au labda ujinga wako wa kutokufuatialia sheria na makatazo mbalimbali ya nchi yako hakukufanyi usichukuliwe hatua za kisheria pale unapokosea , ukikutwa na hatia utahukumiwa bila huruma yeyote ile.

Naomba nikiri hadharani kwamba mimi ni mvaa Tai wa siku nyingi na ninazo zaidi ya Tai 50 zenye rangi nyekundu , ambazo nazivaa ninapotaka na tena nazivaa hata kwenye hafla za kitaifa , kiukweli sikuelewa kama natenda kosa , hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza nene !

Naomba sana Wanasheria mliomo humu mkiongozwa na Petro E. Mselewa mnionyeshe andiko lililomo ndani ya Katiba yetu linalokataza kapuku kuvaa Tai nyekundu ili iwe fundisho kwangu na kwa mbumbumbu wenzangu wengine wasiojua chochote ili tuepuke jela ya kizembe.

Natanguliza Shukrani.
Hata mimi nimeshangaa; kuta siku watatuambia tusivae chupi nyekundu!! Sasa kwa wabunge ambao wana tai nyekundu tu siku hiyo hawatavaa tai au inabidi wakanunue tai nyingine. mambo mengine ya kitoto sana
 
Labda diplomasia ya Lumumba.

Angali wakati Rais wa Marekani anahutubia bungen la Congress utaona wabunge na karibia watu wote wamevaa tai nyekundu.
Na jiulize kwanini Rais wa Marekani anapolihutubia Congress wenyewe wanaiita State of the Union Adress Rais anakuwa na tai nyekundu na sio bluu au nyeusi?Ni utaratibu waliojiwekea.
Sasa utaratibu huo ukiweka na Bunge la Tanzania kwanini iwe nongwa???
 
Sio kila kitu kipo kwenye katiba
Licha ya ukubwa wake, bunge linaongozwa kwa kanuni ambazo hazipo kwenye katiba.
Ndio mana nimesema hapo juu kuwa kwenye nyanja ya diplomansia, kuna mambo tumekubaliana nayo kama sehemu ya itifaki.
Ila hazipo kwenye katiba.anayetunza k
Nakushukuru , lakini ni nani anayetunza hizi kumbukumbu ambazo hazikuandikwa popote ?
 
Sio kila kitu lazima kiandikwe.

Wewe ukisimamishwa barabarani upishe rais anapita hua unauliza hii imeandikwa wapi?

Bavicha akili mapeleka wapi?

Hii ya kupisha msafara wa raisi mbona imeandikwa wazi tu.

Tena kuingilia msafara wa raisi ni treason kabisa a.k.a uhaini. Sasa kuingilia ni pamoja na kutokupisha upite au ile kuunga nao kukwepa foleni ni vasi tu halijatokea lakutokea siku moja
 
Tumeonywa mara nyingi sana na wanasheria kwamba kutokujua sheria , iwe kwa sababu ya elimu yako duni , uzembe wako au labda ujinga wako wa kutokufuatialia sheria na makatazo mbalimbali ya nchi yako hakukufanyi usichukuliwe hatua za kisheria pale unapokosea , ukikutwa na hatia utahukumiwa bila huruma yeyote ile.

Naomba nikiri hadharani kwamba mimi ni mvaa Tai wa siku nyingi na ninazo zaidi ya Tai 50 zenye rangi nyekundu , ambazo nazivaa ninapotaka na tena nazivaa hata kwenye hafla za kitaifa , kiukweli sikuelewa kama natenda kosa , hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza nene !

Naomba sana Wanasheria mliomo humu mkiongozwa na Petro E. Mselewa mnionyeshe andiko lililomo ndani ya Katiba yetu linalokataza kapuku kuvaa Tai nyekundu ili iwe fundisho kwangu na kwa mbumbumbu wenzangu wengine wasiojua chochote ili tuepuke jela ya kizembe.

Natanguliza Shukrani.
Kwanini hii issue usiipotezee very minor...
haina afya yyte katika ukuaji wa kiuchumi taifani
 
Hata mimi nimeshangaa; kuta siku watatuambia tusivae chupi nyekundu!! Sasa kwa wabunge ambao wana tai nyekundu tu siku hiyo hawatavaa tai au inabidi wakanunue tai nyingine. mambo mengine ya kitoto sana
Halafu hiyo chupi nyekundu nani atakuwa anaiona kwa mfano??
Mambo mengine ukilazimisha kupinga unaonyesha uwezo wako wa kufikiri ulipofikia.
 
Back
Top Bottom