Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
😂 😂 😂 😂Hivi ndio vichwa vya CCM, mashine za hoja CCM ndio hizi
Think tank kutoka lumumba street
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 😂Hivi ndio vichwa vya CCM, mashine za hoja CCM ndio hizi
Ni Ujanjaujanja Kama Wakati Ule Wa Zamani Eti Mkichinja Kuku. Baba Lazima Awekewe Mapaja [emoji28][emoji23][emoji2]
Ndiyo Haya Ya Bungeni.
Ni suala la kiitifaki.
Hii inatokana na utamaduni wa kidiplomansia.
Spika wa Bunge yupo sahihi kiitifaki
Na pale ametoa utaratibu wa kiitifaki.
Hivi itifaki hazimo ndani ya Katiba ?
Uzuri maza anajua propaganda za vijana wa marehemu dikiteta magufuliAsije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.
Hata mimi nimeshangaa; kuta siku watatuambia tusivae chupi nyekundu!! Sasa kwa wabunge ambao wana tai nyekundu tu siku hiyo hawatavaa tai au inabidi wakanunue tai nyingine. mambo mengine ya kitoto sanaTumeonywa mara nyingi sana na wanasheria kwamba kutokujua sheria , iwe kwa sababu ya elimu yako duni , uzembe wako au labda ujinga wako wa kutokufuatialia sheria na makatazo mbalimbali ya nchi yako hakukufanyi usichukuliwe hatua za kisheria pale unapokosea , ukikutwa na hatia utahukumiwa bila huruma yeyote ile.
Naomba nikiri hadharani kwamba mimi ni mvaa Tai wa siku nyingi na ninazo zaidi ya Tai 50 zenye rangi nyekundu , ambazo nazivaa ninapotaka na tena nazivaa hata kwenye hafla za kitaifa , kiukweli sikuelewa kama natenda kosa , hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza nene !
Naomba sana Wanasheria mliomo humu mkiongozwa na Petro E. Mselewa mnionyeshe andiko lililomo ndani ya Katiba yetu linalokataza kapuku kuvaa Tai nyekundu ili iwe fundisho kwangu na kwa mbumbumbu wenzangu wengine wasiojua chochote ili tuepuke jela ya kizembe.
Natanguliza Shukrani.
Na jiulize kwanini Rais wa Marekani anapolihutubia Congress wenyewe wanaiita State of the Union Adress Rais anakuwa na tai nyekundu na sio bluu au nyeusi?Ni utaratibu waliojiwekea.Labda diplomasia ya Lumumba.
Angali wakati Rais wa Marekani anahutubia bungen la Congress utaona wabunge na karibia watu wote wamevaa tai nyekundu.
Ina maana mlishamuingiza kitengoni?Endelea kukariri bwashee!
In fact Nyerere alikuwa akitumia kalamu ya kijani! ni utashi wa mtia sahihi tu, siyo takwa la kisheria.Si hivyo tu hata kusign president anasain na kalam nyekundu.
Ukiuliza reference, sijui
Nakushukuru , lakini ni nani anayetunza hizi kumbukumbu ambazo hazikuandikwa popote ?Sio kila kitu kipo kwenye katiba
Licha ya ukubwa wake, bunge linaongozwa kwa kanuni ambazo hazipo kwenye katiba.
Ndio mana nimesema hapo juu kuwa kwenye nyanja ya diplomansia, kuna mambo tumekubaliana nayo kama sehemu ya itifaki.
Ila hazipo kwenye katiba.anayetunza k
Kesho utakuja na swali kwanini zulia jekundu ndio anatandikiwa kwa nini lisiwe la blueHivi itifaki hazimo ndani ya Katiba ?
Sio kila kitu lazima kiandikwe.
Wewe ukisimamishwa barabarani upishe rais anapita hua unauliza hii imeandikwa wapi?
Bavicha akili mapeleka wapi?
porojo tuIna maana mlishamuingiza kitengoni?
Kila kitu kinapaswa kufahamikaKesho utakuja na swali kwanini zulia jekundu ndio anatandikiwa kwa nini lisiwe la blue
Kwanini hii issue usiipotezee very minor...Tumeonywa mara nyingi sana na wanasheria kwamba kutokujua sheria , iwe kwa sababu ya elimu yako duni , uzembe wako au labda ujinga wako wa kutokufuatialia sheria na makatazo mbalimbali ya nchi yako hakukufanyi usichukuliwe hatua za kisheria pale unapokosea , ukikutwa na hatia utahukumiwa bila huruma yeyote ile.
Naomba nikiri hadharani kwamba mimi ni mvaa Tai wa siku nyingi na ninazo zaidi ya Tai 50 zenye rangi nyekundu , ambazo nazivaa ninapotaka na tena nazivaa hata kwenye hafla za kitaifa , kiukweli sikuelewa kama natenda kosa , hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza nene !
Naomba sana Wanasheria mliomo humu mkiongozwa na Petro E. Mselewa mnionyeshe andiko lililomo ndani ya Katiba yetu linalokataza kapuku kuvaa Tai nyekundu ili iwe fundisho kwangu na kwa mbumbumbu wenzangu wengine wasiojua chochote ili tuepuke jela ya kizembe.
Natanguliza Shukrani.
Halafu hiyo chupi nyekundu nani atakuwa anaiona kwa mfano??Hata mimi nimeshangaa; kuta siku watatuambia tusivae chupi nyekundu!! Sasa kwa wabunge ambao wana tai nyekundu tu siku hiyo hawatavaa tai au inabidi wakanunue tai nyingine. mambo mengine ya kitoto sana
Hahahaaaa.....!Ina maana mlishamuingiza kitengoni?