Huyu jamaa alikuwa anatuvalisha kaunda suti za kaki,ikifuliwa suruali inaruka.Mambo ya suti na tai tuliyaanza baada ya Mzee Ruksa kuingia madarakani!Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa tai nyekundu.
Hiyo ndiyo kuingilia privacy ya mtu; serikali haimnunulii mbunge tai, kwa hiyo isimchagulie avae tai gani. Kama serikali huwa inatoa tai za bure kwa wabunge basi iseme.Halafu hiyo chupi nyekundu nani atakuwa anaiona kwa mfano??
Mambo mengine ukilazimisha kupinga unaonyesha uwezo wako wa kufikiri ulipofikia.
Hizo maana za rangi ya tie (tai) ni kutokana na utamaduni Wa magharibi! Tunaiga!! Sina uhakika tutaishia wapi kuiga! maana safari moja huanzisha Nyingine!Ni suala la kiitifaki.
Hii inatokana na utamaduni wa kidiplomansia.
Spika wa Bunge yupo sahihi kiitifaki
Na pale ametoa utaratibu wa kiitifaki.
Mkuu nihakikishie kama tukivaa hatutakamatwa , wala sina neno ni hofu tuKwanini hii issue usiipotezee very minor...
haina afya yyte katika ukuaji wa kiuchumi taifani
Nyerere hakukwahi kukununulia Kaunda suti za Kaki; kama ulikuwa unanunua nguo z a kufananan na zake ukawa unanunua kaki, basi hayo yalikuwa ni matatizo yako tu. Hakuwahi kumlazimisha mtu yeyeote avae vipi. Mwone hapa amepiga tai yakeHuyu jamaa alikuwa anatuvalisha kaunda suti za kaki,ikifuliwa suruali inaruka.Mambo ya suti na tai tuliyaanza baada ya Mzee Ruksa kuingia madarakani!
Hapa alikuwa bado anashikamana na ubeberuni miaka ya 60.Baada ya hapo ilikuwa kaunda suti za kaki kwa kwenda mbele tena vitambaa toka viwanda vya ndani visivyo na ubora.Na hiyo kaki ikichanika unaweka kiraka!Nyerere hakukwahi kukununulia Kaunda suti za Kaki; kama ulikuwa unanunua nguo z a kufananan na zake ukawa unanunua kaki, basi hayo yalikuwa ni matatizo yako tu. Hakuwahi kumlazimisha mtu yeyeote avae vipi. Mwone hapa amepiga tai yake
Kwenye kabinet yake George Kahama alikuwa anavaa suti na tai muda wote, ambayo ndiyo ilikuwa sababu ya kuitwa Sir george kahama
Sio kila kitu kipo kwenye katiba
Licha ya ukubwa wake, bunge linaongozwa kwa kanuni ambazo hazipo kwenye katiba.
Ndio mana nimesema hapo juu kuwa kwenye nyanja ya diplomansia, kuna mambo tumekubaliana nayo kama sehemu ya itifaki.
Ila hazipo kwenye katiba.
Nchi haiongozwi tu na katiba,pia kuna kanuni na desturi.
With due respect.Kwani Serikali inawanunulia wabunge mavazi ya kuvaa wanapokuwa bungeni?Mbona wanalazimika kufuata dress code?Vaa basi msuli au jeans uingie nao bungeni kwa kisingizio hununuliwi na ni privacy yako!!Hiyo ndiyo kuingilia privacy ya mtu; serikali haimnunulii mbunge tai, kwa hiyo isimchagulie avae tai gani. Kama serikali huwa inatoa tai za bure kwa wabunge basi iseme.
Protocol and etiquetteTumeonywa mara nyingi sana na wanasheria kwamba kutokujua sheria , iwe kwa sababu ya elimu yako duni , uzembe wako au labda ujinga wako wa kutokufuatialia sheria na makatazo mbalimbali ya nchi yako hakukufanyi usichukuliwe hatua za kisheria pale unapokosea , ukikutwa na hatia utahukumiwa bila huruma yeyote ile.
Naomba nikiri hadharani kwamba mimi ni mvaa Tai wa siku nyingi na ninazo zaidi ya Tai 50 zenye rangi nyekundu , ambazo nazivaa ninapotaka na tena nazivaa hata kwenye hafla za kitaifa , kiukweli sikuelewa kama natenda kosa , hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza nene !
Naomba sana Wanasheria mliomo humu mkiongozwa na Petro E. Mselewa mnionyeshe andiko lililomo ndani ya Katiba yetu linalokataza kapuku kuvaa Tai nyekundu ili iwe fundisho kwangu na kwa mbumbumbu wenzangu wengine wasiojua chochote ili tuepuke jela ya kizembe.
Natanguliza Shukrani.
Ww vaa tuMkuu nihakikishie kama tukivaa hatutakamatwa , wala sina neno ni hofu tu
Dress code huwa haihusishi rangi ya vazi.With due respect.Kwani Serikali inawanunulia wabunge mavazi ya kuvaa wanapokuwa bungeni?Mbona wanalazimika kufuata dress code?Vaa basi msuli au jeans uingie nao bungeni kwa kisingizio hununuliwi na ni privacy yako!!
Tumeonywa mara nyingi sana na wanasheria kwamba kutokujua sheria , iwe kwa sababu ya elimu yako duni , uzembe wako au labda ujinga wako wa kutokufuatialia sheria na makatazo mbalimbali ya nchi yako hakukufanyi usichukuliwe hatua za kisheria pale unapokosea , ukikutwa na hatia utahukumiwa bila huruma yeyote ile.
Naomba nikiri hadharani kwamba mimi ni mvaa Tai wa siku nyingi na ninazo zaidi ya Tai 50 zenye rangi nyekundu , ambazo nazivaa ninapotaka na tena nazivaa hata kwenye hafla za kitaifa , kiukweli sikuelewa kama natenda kosa , hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza nene !
Naomba sana Wanasheria mliomo humu mkiongozwa na Petro E. Mselewa mnionyeshe andiko lililomo ndani ya Katiba yetu linalokataza kapuku kuvaa Tai nyekundu ili iwe fundisho kwangu na kwa mbumbumbu wenzangu wengine wasiojua chochote ili tuepuke jela ya kizembe.
Natanguliza Shukrani.
Ndio Serikali inawanunulia wabunge mavazi ya kuvaa, au umesahahu kuwa wabunge wanapatiwa hela za kununulia suti?With due respect.Kwani Serikali inawanunulia wabunge mavazi ya kuvaa wanapokuwa bungeni?Mbona wanalazimika kufuata dress code?Vaa basi msuli au jeans uingie nao bungeni kwa kisingizio hununuliwi na ni privacy yako!!
Kwanini hii issue usiipotezee very minor...
haina afya yyte katika ukuaji wa kiuchumi taifani
Sio kila kitu lazima kiandikwe.
Wewe ukisimamishwa barabarani upishe rais anapita hua unauliza hii imeandikwa wapi?
Bavicha akili mapeleka wapi?
Kikatiba na kisheria, hapa Tanzania, hakuna hilo takwa. Rangi za tai ni mambo ya kimapokeo na ya kiutamaduni tu kwenye uga wa kidiplomasia na kiutawala. Hakuna sheria iliyoandikwa kuhusu hiloTumeonywa mara nyingi sana na wanasheria kwamba kutokujua sheria , iwe kwa sababu ya elimu yako duni , uzembe wako au labda ujinga wako wa kutokufuatialia sheria na makatazo mbalimbali ya nchi yako hakukufanyi usichukuliwe hatua za kisheria pale unapokosea , ukikutwa na hatia utahukumiwa bila huruma yeyote ile.
Naomba nikiri hadharani kwamba mimi ni mvaa Tai wa siku nyingi na ninazo zaidi ya Tai 50 zenye rangi nyekundu , ambazo nazivaa ninapotaka na tena nazivaa hata kwenye hafla za kitaifa , kiukweli sikuelewa kama natenda kosa , hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza nene !
Naomba sana Wanasheria mliomo humu mkiongozwa na Petro E. Mselewa mnionyeshe andiko lililomo ndani ya Katiba yetu linalokataza kapuku kuvaa Tai nyekundu ili iwe fundisho kwangu na kwa mbumbumbu wenzangu wengine wasiojua chochote ili tuepuke jela ya kizembe.
Natanguliza Shukrani.
Tunakushukuru sana mkuu kwa kujitokeza na kufafanuaKikatiba na kisheria, hapa Tanzania, hakuna hilo takwa. Rangi za tai ni mambo ya kimapokeo na ya kiutamaduni tu kwenye uga wa kidiplomasia na kiutawala. Hakuna sheria iliyoandikwa kuhusu hilo