Ndani ya miaka 4 ya Rais Samia nimepanda cheo mara 2. Watumishi wa umma umetutendea haki

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.

Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.

Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.

Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.

Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga.

Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka.

We love you, live Long and healthy life
 
Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga,

Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka,
We love you, live Long and healthy life
Niione bendera hata lini, na kuisikia sauti ya tarumbeta?

Naliiangalia nchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; naliziangalia mbingu, nazo zilikuwa hazina nuru.

Neno la Mungu lazima litimie.. mpira utarudishwa kati mapema sana
 
Mama hanashida, watendaji wake wanzingua. Kwa ufupi Oktoba tunatiki kwa Mama ila Wabunge aseee Sina uhakika kuna watu watarudi kama walivyokuwa awamu hii.
 
Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.
Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.
Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.
Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.
Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga,
Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka,
We love you, live Long and healthy life
Ubinafsi tuu umekutawala sio kingine

Sasa ivi huwezi kuona changamoto

Subiri miaka michache tuu utajua hata kupaanda cheo hakuna maana
 
Mtumishi wa umma hujui MAGUFULI amekaa madarakani kwa muda gani? What a hell of u
 
Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.

Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.

Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.

Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.

Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga.

Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka.

We love you, live Long and healthy life
Ni ajabu ulikuwa unatumikia cheo kimoja miaka miwili badala ya minne au mitatu.
Hongera
 
Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.

Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.

Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.

Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.

Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga.

Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka.

We love you, live Long and healthy life
Ni vema ukasema umepanda ww, hongera lakin watumish wengine is not the same
 
Kwa eneo hili na Mimi nakuunga mkono Kamanda. Kwa kweli like jiwe lilikuwa na roho mbaya Sana. Mama ana mapungufu yake lakini Kwa watumishi Kwa kweli amekuwa muungwana.
 
Back
Top Bottom