Ndani ya miaka 4 ya Rais Samia nimepanda cheo mara 2. Watumishi wa umma umetutendea haki

Kuna muda watendaji wanamponza, kuna muda siamini kila alietekwa ni oda kutoka majuu, muda mwingine ni viongozi wa sehemu husika kutafuta sifa, kwa mama unakuta hata hawajatumwa Ila wanaamua kuteka tu
 
Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.

Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.

Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.

Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.

Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga.

Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka.

We love you, live Long and healthy life
Hata mimi mara 2..nitampa
 
Kwa hiyo kwa vile umeshiba unatetea tumbo lako tu?
Naturally, wengi walioshiba hawana habari na wenye njaa.
Asichofanya mpaka wakati mchango huu unaandikwa tunaemuita Raia namba moja kwa sasa (2021-2025) ni kuhakikisha kuwa walioanza utumishi 2014 wakanyimwa daraja 2018 wanapata hiyo haki iliyokanyagwa na Mwendazake. Ni deni.
 
Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.

Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.

Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.

Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.

Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga.

Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka.

We love you, live Long and healthy life
Kwenye ajira na kupanda vyeo mama anaupiga mwingi
 
Umepanda kwasababu ya samia au unastahili?

Machawa nao wanasema wamejenga kwasababu ya samia!
Miaka 6 ya Magufuli sikupanda hata mara 1 while miaka 4 ya Rais nimepanda mara 2. Kiongozi dhalimu kama Magufuli alipandisha maafisa wa ngazi za juu tu wa vyombo vya ulinzi na usalama licha ya wengi tulistahili
 
Hata ubadilishe account tumeshakujua wewe ni Lucas Mwashambwa wa bei ya jioni 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom