Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Niione bendera hata lini, na kuisikia sauti ya tarumbeta?Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.
Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.
Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.
Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.
Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga,
Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka,
We love you, live Long and healthy life
Ubinafsi tuu umekutawala sio kingineNisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.
Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.
Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.
Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.
Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga,
Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka,
We love you, live Long and healthy life
Ni ajabu ulikuwa unatumikia cheo kimoja miaka miwili badala ya minne au mitatu.Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.
Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.
Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.
Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.
Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga.
Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka.
We love you, live Long and healthy life
Ni vema ukasema umepanda ww, hongera lakin watumish wengine is not the sameNisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.
Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe.
Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini Watanzania ni wasahaulifu.
Sitetei kamata kamata ya sasa ila ninawakumbusha tu kuwa hii ni kama manyunyu ya mvua but ile ya kipindi cha Magufuli ilikuwa mvua kamili yenye radi.
Hakuna tv au redio ilikuwa na uwezo wa kumuhoji kiongozi wa upinzani kinagaubaga kipindi cha Magufuli. Lakini Sasa kidogo kuna mwanga.
Watumishi tulikuwa tukitukanwa kwenye sherehe yetu ya Mei mosi na kulazimishwa tumpigie makofi mtukanaji.
Rais Samia yuko vizuri, please waruhusu wapinzani kufanya siasa huru ili kuondoa kagiza haka.
We love you, live Long and healthy life
Kwa eneo hili na Mimi nakuunga mkono Kamanda. Kwa kweli like jiwe lilikuwa na roho mbaya Sana. Mama ana mapungufu yake lakini Kwa watumishi Kwa kweli amekuwa muungwana.Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu.