Ndani ya miaka 4 ya Rais Samia nimepanda cheo mara 2. Watumishi wa umma umetutendea haki

Kuna muda watendaji wanamponza, kuna muda siamini kila alietekwa ni oda kutoka majuu, muda mwingine ni viongozi wa sehemu husika kutafuta sifa, kwa mama unakuta hata hawajatumwa Ila wanaamua kuteka tu
 
Hata mimi mara 2..nitampa
 
Kwa hiyo kwa vile umeshiba unatetea tumbo lako tu?
Naturally, wengi walioshiba hawana habari na wenye njaa.
Asichofanya mpaka wakati mchango huu unaandikwa tunaemuita Raia namba moja kwa sasa (2021-2025) ni kuhakikisha kuwa walioanza utumishi 2014 wakanyimwa daraja 2018 wanapata hiyo haki iliyokanyagwa na Mwendazake. Ni deni.
 
Kwenye ajira na kupanda vyeo mama anaupiga mwingi
 
Umepanda kwasababu ya samia au unastahili?

Machawa nao wanasema wamejenga kwasababu ya samia!
Miaka 6 ya Magufuli sikupanda hata mara 1 while miaka 4 ya Rais nimepanda mara 2. Kiongozi dhalimu kama Magufuli alipandisha maafisa wa ngazi za juu tu wa vyombo vya ulinzi na usalama licha ya wengi tulistahili
 
Hata ubadilishe account tumeshakujua wewe ni Lucas Mwashambwa wa bei ya jioni 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…