Mr RMJ
JF-Expert Member
- Jun 30, 2022
- 454
- 904
umesema we ni mwajiriwa na si mkulima. Wakulima ambao bado wanamazao mpaka sasa ni wachache sana. Mazao walishauza muda mrefu kwa wafanyabiashara na hao wafanyabiashara ndo wananufaika kwa bei ya soko la nafaka kwa sasa. Sasa hivi wakulima haohao ndo wananunua hayo mazao kwa bei ya juu sana.Nenda huko mtwara upne jinsi wakulima wanavyofurahia uongozi wa Samia au nenda singida mjini au vijijini uone jinsi wanavyofurahia uongozi wa Sami Mana mbaazi na alizeti zao Zina soko la uhakika sasa. Yule jamaa aliwahalibia Sana wakulima wa nchi hii. Hilo swala la umeme ni la mda tu halafu na kwa kakikundi ka mjini tu ambko ni kadogo