mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Yeye mwenyewe nasikia PhD yake ya kemia ya pale jalalani alifanya plagiarism. Enewei sio vizuri kumsema marehemu, bora mumuache tu aendelee kuteketea jehanamu msimuongezee mateso.
unaskia wapi wakati aliyetaka kuitumia kama kick hiyo aliliwa kichwa!!!
unakwenda shule unamaliza unaona bora uanze kutafiti kuhusu PHD ya mtu[emoji28][emoji28]
kama unaipenda si utafute yako nawewe!!!
waste sparm ever.