Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

Sasa wewe ulidhani utaachwa tu uendelee kuuza madawa ya kulevya na mahawara zako wasio na vyeti wabaki maofisini? Hakuna hiyo wewee!
Kwa mda wa miaka mitano tu Kila mmoja kaonja joto la jiwe, si mkuli, si graduate, si mfanyabiashara, mwajiliwa wa serikali na binafsi. Wote tulikuwa tunasubili Kila siku matamko yake tu as if nchi haikuwa na binge tena Wala sheria.

Nchi ilikuwa imepatwa. Sasa lazima awe reference ya viongoxi wabovu kuwahi kutokea duniani
 
Mimi ni mhitimu wa muhimbi Nina degree ya afya yaani MD. Sasa hichi Cheri feki nimekitoa wapi. Kwa sasa chini ya mama ndo nimepata ajra baada ya miaka mitano ya lile joka kupita bilabila
Thubutu! Muhitimu gani asie na akili, kuandika tu hujui. Muhimbili hawaenroll mandezi kama wewe, labda muhimbili ya buza kwa mama bonge
 
Thubutu! Muhitimu gani asie na akili, kuandika tu hujui. Muhimbili hawaenroll mandezi kama wewe, labda muhimbili ya buza kwa mama bonge
Kaa na ujinga wako. Mi ni epidemiologist. Kalia ujinga tu
 
Kama ulikua unauza madawa ya kulevya au kuua tembo wetu lazima umchukie.
 
Acha mbaa mbaaa mbaaa.

Kubali kwamba ulikuwa na vyeti feki ukajeruhiwa au mzembe ukatumbuliwa.

Au ulikuwa unafanya dili chafu ukapigwa pini.

Au ulikuwa muùza Unga, Jangiri au kibaka ukazibiwa mianya.

Kwa Mtu ambaye ni smart enough kuanzia akili mpaka matendo hawezi kumsiliba Hayati Magufuli. Woote unaowaona kutwa kucha wamkinanga Hayati JPM believe me waliguswa na Mkono wake wa kukomesha Uovu Ndani ya Nchi yetu. Over
Yes, Mshenzi yule aliyagusa maisha yetu.
Miaka 6 no nyongeza ya mshahara wala kupandishwa madaraja.
Hivi mimi nakosaje kumkumbuka Mtawala muovu km yule!
 
Familia za magaidi wa MKIRU, watamkumbuka sana, waliokuwa wanafungulia maji Mtera, ili wasingizie ukame, watamkumkumbuka zaidi maana biashara yao ya magenereta imerudi, lile jitu liliwanyoosha Kama rula
 
Nenda huko mtwara upne jinsi wakulima wanavyofurahia uongozi wa Samia au nenda singida mjini au vijijini uone jinsi wanavyofurahia uongozi wa Sami Mana mbaazi na alizeti zao Zina soko la uhakika sasa. Yule jamaa aliwahalibia Sana wakulima wa nchi hii. Hilo swala la umeme ni la mda tu halafu na kwa kakikundi ka mjini tu ambko ni kadogo
Hii itakuwa mtwara ya Burkina Faso na sio mtwara ya mabuga
IMG_20221026_222506.jpg
IMG_20221026_222525.jpg
 
Nenda huko Mtwara uone jinsi wakulima wanavyofurahia uongozi wa Samia au nenda singida mjini au vijijini uone jinsi wanavyofurahia uongozi wa Sami Mana mbaazi na alizeti zao Zina soko la uhakika sasa. Yule jamaa aliwahalibia Sana wakulima wa nchi hii. Hilo swala la umeme ni la mda tu halafu na kwa kakikundi ka mjini tu ambko ni kadogo
Mtwara sindiyo hao wanalalamika bei ya korosho kwa sasa
 
bendera fuata upepo
mtu/mfanyakazi wa umma ambaye hakupandishiwa mshahara miaka mitano wala cheo atamfurahia magufuli kwa lipi? kwakuwa unakaa kwa shemeji yako ndo mana
aliyeporwa korosho zake atamkumbuka kwa jema lipi?
waliopigwa risasi kama majambazi kwa kumwambia ukweli juu ya ghiriba zake za makinikia nao wana vyeti feki?
walio uliwa ndugu zao huko mkuranga, kibiti, Rufiji na Mafia nao wanamkumbuka kwa jema lipi?
ndugu zake Akwilin nao walikuwa na vyeti feki au wauza unga?
watumishi waliopandishiwa makato ya mikopo nao walikuwa wana dili feki
Daaah! Ila yule jamaa bwana
 
Alikuwa mtu wa kazi kweli hataki utani ila hakuwa na strategy za maana, ukiwa mzalendo kweli weka katiba ngumu yenye vifungo vya maisha jela au kifo kwa wapigaji lakini one man show haikuwa na maana

Kipindi chake wangeumia wapigaji wanaotafuna resources za nchi kuliko kuumiza wakosoaji ingekuwa safi sana

Alileta nidham kubwa serikalini na kila sector ila watu wakajawa na uoga na pia aliamini kila kitu anakijua yeye hakutaka ushauri..
 
Ukiw na Md halafu unaandika utumbo kama huu lazima mtu mwingine ajiulize quality ya hiyo degree yako na hicho chuo kilichokupa
acheni roho mbaya huyo nilisoma nae...mie nikaenda zaidi mbele ndo anawatibia nyie nyani ndo kawaida yenu.
hongera MD wetu achana na vilaza hao...km hawa dawa yao ndgo sana wakija wardin weee!! piga sindano ya ukimwi akukuruke nao.
 
Hivi kwa nini marehemu jiwe aliogopa sana wenzake wa UNGA?? Lkn alipenda kuonea dagaa?? Yaaani alikuwa akikutana na dagaa atakisagasaga mpaka kiwe unga....
 
Back
Top Bottom