Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

Sasa wewe ulidhani utaachwa tu uendelee kuuza madawa ya kulevya na mahawara zako wasio na vyeti wabaki maofisini? Hakuna hiyo wewee!
 
Mimi ni mhitimu wa muhimbi Nina degree ya afya yaani MD. Sasa hichi Cheri feki nimekitoa wapi. Kwa sasa chini ya mama ndo nimepata ajra baada ya miaka mitano ya lile joka kupita bilabila
Thubutu! Muhitimu gani asie na akili, kuandika tu hujui. Muhimbili hawaenroll mandezi kama wewe, labda muhimbili ya buza kwa mama bonge
 
Thubutu! Muhitimu gani asie na akili, kuandika tu hujui. Muhimbili hawaenroll mandezi kama wewe, labda muhimbili ya buza kwa mama bonge
Kaa na ujinga wako. Mi ni epidemiologist. Kalia ujinga tu
 
Sasa wewe ulidhani utaachwa tu uendelee kuuza madawa ya kulevya na mahawara zako wasio na vyeti wabaki maofisini? Hakuna hiyo wewee!
Kalia ujinga wako. Ipo siku utakuwa na akiri
 
Kama ulikua unauza madawa ya kulevya au kuua tembo wetu lazima umchukie.
 
Yes, Mshenzi yule aliyagusa maisha yetu.
Miaka 6 no nyongeza ya mshahara wala kupandishwa madaraja.
Hivi mimi nakosaje kumkumbuka Mtawala muovu km yule!
 
Familia za magaidi wa MKIRU, watamkumbuka sana, waliokuwa wanafungulia maji Mtera, ili wasingizie ukame, watamkumkumbuka zaidi maana biashara yao ya magenereta imerudi, lile jitu liliwanyoosha Kama rula
 
Hii itakuwa mtwara ya Burkina Faso na sio mtwara ya mabuga
 
Mtwara sindiyo hao wanalalamika bei ya korosho kwa sasa
 
Daaah! Ila yule jamaa bwana
 
Alikuwa mtu wa kazi kweli hataki utani ila hakuwa na strategy za maana, ukiwa mzalendo kweli weka katiba ngumu yenye vifungo vya maisha jela au kifo kwa wapigaji lakini one man show haikuwa na maana

Kipindi chake wangeumia wapigaji wanaotafuna resources za nchi kuliko kuumiza wakosoaji ingekuwa safi sana

Alileta nidham kubwa serikalini na kila sector ila watu wakajawa na uoga na pia aliamini kila kitu anakijua yeye hakutaka ushauri..
 
Ukiw na Md halafu unaandika utumbo kama huu lazima mtu mwingine ajiulize quality ya hiyo degree yako na hicho chuo kilichokupa
acheni roho mbaya huyo nilisoma nae...mie nikaenda zaidi mbele ndo anawatibia nyie nyani ndo kawaida yenu.
hongera MD wetu achana na vilaza hao...km hawa dawa yao ndgo sana wakija wardin weee!! piga sindano ya ukimwi akukuruke nao.
 
Hivi kwa nini marehemu jiwe aliogopa sana wenzake wa UNGA?? Lkn alipenda kuonea dagaa?? Yaaani alikuwa akikutana na dagaa atakisagasaga mpaka kiwe unga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…