Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
CCM mmechoka akili ni wa kuwapumzisha Tu sasa
Miaka 60 mnamsifia Rais kujenga madarasa mnatia aibu
hahahahhaMtu mmoja unakuja na ID kibao
Nikikumbuka historia ya Chief Mangungo, nimecheka mpaka basi. Kilangila.Naona kitukuu umerithi tabia ya Chifu Mangungo wa Msovero mwenyewe.
yule mwache tu alizidiYa kufoka foka kama ya mwendazake?
ππππ€£π€£π€£π€£Ivi ninyi mnaosinzia kwenye daladala hamuogopi kupitiliza kituo mnachoshukia.....
Akiweza kudhibiti kwenye dawa hapo ndio nitakubaliana na wewe, maana dawa kwa kweli lazima utaambiwa ukanunue pharmacyKama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika...
Mkuu Ilembula kumbe unakupata au ndio mahome?Hapa
Ilembula shule gani ya sekondari ya wasichana inajengwa?