Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

To be fair, ni mapema sana kum judge, ngoja amalize muda wake, mpaka sasa naona kama panga panguwa kibao, tozo tusubiri matumizi yake nchini, hela za Donor countries, tusubiri kuona zitapigwa au kwenda kuhusika, mapato na matumizi ya maliasili na rasilimali napo tusubiri kama yatanufaisha nchi au matumbo ya wachache, na mwisho, Polisi, bado haki, rushwa inasumbuwa..
 
Na aendelee kumuachia Majaliwa kazi ya kudeal na hawa wahuni akina Mbowe
 
Kwani hizo hela zinatoka wapi, siyo Kodi zetu pale hazina au ni za rais.
 
😍💪👍🙏
 
Mbona sisi watu wa kigoma- kasulu hawaji kununua mahindi yetu?? walanguzi wanatulalia kwa bei ya tsh 4500-5500 kwa debe hii ni sawa na wastani wa kilo moja inauzwa kwa sh. 230 hadi 270 wakati mikoa ya nyanda za juu kusini wao serikali inakwenda kununua mahindi kwa kilo tsh 500 hii ni sawa na wastani wa debe moja sh. 10,000/=. Ina maana wakulima wa mikoa mingine wao ni bora zaidi kuliko wengine??
 
Misukule ya mwendazake itabisha...
 
Mama ni kiongozi mzuri. Kosa lake ni kuji associates na wala rushwa/mafisadi, hiyo inampunguzia credibility.
 
Reactions: Ame
Upo na busara sana...Wengi wapo kuchonganisha ili nafasi zitokee wapewe shavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…