Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huenda huelewi hata mada imezungumzia nnMUOGOPE MUNGU. MKOA WA GEITA PEKE YAKE UNA UHABA WA WAALIMU 7500. BADO KWENYE IDARA YA AFYA.
HIZO AJIRA NI DANGANYA TOTO. HUWEZI KUAJIRI WAALIMU WA HESABU 450 WAFUNDISHE TANZANIA NZIMA.
NJOMBE KUNA SHULE INA WATOTO 540 ILA WAALIMU 5.
LEO HII KUNA MADOKTA WANAENDESHA BODABODA NA HOSPITALI HAZINA WAHUDUMU.
YAJAYO YANAHUZUNISHA!
Wazushi hawa, hapo ukute nyingine hewaMUOGOPE MUNGU. MKOA WA GEITA PEKE YAKE UNA UHABA WA WAALIMU 7500. BADO KWENYE IDARA YA AFYA.
HIZO AJIRA NI DANGANYA TOTO. HUWEZI KUAJIRI WAALIMU WA HESABU 450 WAFUNDISHE TANZANIA NZIMA.
NJOMBE KUNA SHULE INA WATOTO 540 ILA WAALIMU 5.
LEO HII KUNA MADOKTA WANAENDESHA BODABODA NA HOSPITALI HAZINA WAHUDUMU.
YAJAYO YANAHUZUNISHA!
wewe toa za sekta binafsi usisubiri kila kitu uandikiweMleta mada ana narrow definition ya ajira. Ajira ya serikali ni asilimia ndogo sana ya ajira zinazopigiwa kelele. Ninaheshimu kuwa unafurahi kuwa umepata ajira - je unadhani itakuwa hivo 2023, na 2024, na 2025?? Je hizo ajira zitakuwa endless, going forward??
Ajira zinazozungumziwa ni jambo pana sana. Linahusisha kukuza uchumi hasa wa sekta binafsi ili watu waweze kuajiriwa na kujiajiri!! Sio ajira za serikali kwa sababu serikali haiwezi kuajiri kila mtu!
Nilidhani utatoa takwimu za ajira hasa za sekta binafsi ili tuone jinsi SSH alivoongeza ajira au kwa kuweka taratibu mpya za ajira kwa wazawa, au kukua kwa uchumi wa sekta binafsi!!
MAMA anaupiga mwingi sio habazimefika jumlisha mahesabu yako vizuri