Ndani ya siku 100 za Uongozi wake, Rais Samia amefanya mambo makubwa

Hakuna kama yeye, namkubali sana Rais wangu Samia hakika Mungu ampe maisha marefu hazidi kufanya mambo makubwa zaidi🙏🙏
 
Hakika Majibu ya Allah hayana haraka huja taratibu sana mdanwingine utasahau kabisa...Angalia Mrema..aliwakejeri sana waislaam enzi zaka alifika kusema akiwa raisi adhana ataifuta etc...leo chali duniani hayupo akhera hayupo...upinzani hayupo ccm hayupo...kinachofanya Samia aendelee kutowaachia Uamsho ni nini lakini?
 
Tunahukumu kwa tunayoyaona siyo yale ya kufirika/sadikika/dhanihika
Unaona gari moshi linakwenda kuparamia lori, huku dereva akikupungia mkono kwa furakha, na wewe unajisikia raha?

Instant gratification is everything to you; as in utamu wa pipi?
 
Unaona gari moshi linakwenda kuparamia lori, huku dereva akikupungia mkono kwa furakha, na wewe unajisikia raha?

Instant gratification is everything to you; as in utamu wa pipi?
Positive feedback on a good behaviour reinforces that behaviour, and that is what we want.

Public opinion is as accurate as the thermometer, and wise leaders need it to steer their leadership to a right course

Any leader devoid of feedback from the people will be out of touch
 
"Public opinion"?

What public opinion! Would you consider that which existed just a few months before the demise of Magufuli as public opinion?

How different is that from the current one, except for the occupants of the highest office?
 
Wewe ndio uanze kutumia common sense kufahamu hata Nyerere alikuta reli ya kati imejengwa na wakoloni na wakoloni walikuwa wanatoa elimu.
Tutumie common sense bhas wakat mwingine, hayo mambo makubwa unayoyasemwa kuna watu nyuma yake walianzisha, acheni sifa za kipumbavu
 
Kama ndio haya yakupongeza acha tuendelee na.......dah pepoo za
Nchi hiyiii [emoji34][emoji34][emoji34][emoji124][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125]

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa ccm Mara anasema Mama abadilishe wateuliwa wa mwendazake tunaunga hoja wengi awakueuliwa kwa weledi bali kwa kuwaonea watu.Mtu anawaumiza wapinzani kesho anapewa teuzi kina Kihongosi,Byakanwa,Muro,Hapi,wapo majaji, mapolisi,nk.

Pia anasema akimaliza huko aingie chamani wapo waajiriwa pia hapa anamaanisha watoto wa kambo yaani waunga juhudi kina waitara,gekul, Silinde na wenzie.

Hata wanaccm wengi awakupenda jamaa kumiliki chama.
 
Hii hoja ina mashiko.
Loyalty ni kitu muhimu kwa mtawala, hasa ikiambatana na maadili mazuri
 
Mkuu, naomba uniweke sawa hapo kwenye namba 2, hivi hao ni wale waliofoji vyeti vya form four?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…