Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nilikua natafakari hapa. Sijajua kama haya malori (Fuso) ndio yenye shida au Kuna tatizo lingine.
Yaani ajali tatu ambazo zimeripotiwa kwa kipindi kisichozidi siku 3, Fuso zimehusika.
Ya kwanza ni Ile ya Mkata iliyohusisha Fuso na Coaster iliyokua imebeba mashabiki wa Yanga.
Ya pili ilihusisha Fuso na basi la kampuni ya Burudani basi likitokea Dar kwenda Tanga.
Ya tatu ni Fuso na Basi la kampuni ya Najimunisa iliyotokea Mkoani Shinyanga.
Nadhani nasema "nadhani" Kuna umuhimu wa kuangalia haya malori