Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana. Inatishaaa sana huwa nazikuta njiani huko zimelalaZimesababisha ajali nyingi sanaaisee
Njia ya inyala ndo balaaSana. Inatishaaa sana huwa nazikuta njiani huko zimelala
Unaelewa nini kusikia mizani na taratibu zipoje?Kumbe mizani Barabarani ni kiini macho?
Ni bahati mbaya tu mkuu fuso kuhusika kwenye hizo ajali ulizotaja!!Sijataja makosa ila nimesema zimehusika kwenye ajali! Ni bahati mbaya tu au?
Hili jukumu wangepokonywa. Wakague mambo ya wazi kama, leseni, insurance na ulevi. Kwani yule mtoto wa simbachawene hakuwa kalewa? Kwani alikuwa na insurance?Wanainama chini anachungulia akiona hakuna anayemuangalia, anakula buku faster anamruhusu dereva aendelee na safari
Nimekuelewa vyema sana, kumbe ni nyingi sana? DuhNi bahati mbaya tu mkuu fuso kuhusika kwenye hizo ajali ulizotaja!!
Ajali nyingi za fuso huwa wanasababishiwa na watumiaji wengine hasa mabus..
Tatizo lao huwa wako spidi kiasi cha kushindwa kujipambania wanaposababishiwa majanga!
Rejea bus la takbir na fuso kule singida, frester na fuso (shinyanga), mohamed classic na fuso (manyara), najimunisa na fuso(shinyanga)
Hahahahahaa Yuko kimya, dahHili jukumu wangepokonywa. Wakague mambo ya wazi kama, leseni, insurance na ulevi. Kwani yule mtoto wa simbachawene hakuwa kalewa? Kwani alikuwa na insurance?
NIMEKUELEWAMiezi ya kafara hii waabudu shetani ni wakati wa kurejesha mahesabu so lazima ajali ziwe nyingi
Mbona ni simple. Mitsubishi motors ndio ametengeneza Fuso Fighter nyingi zinazobeba mizigo TZ. Specification zake ni kubeba Kilo 4000 hadi 5000 tu (tani 4 hadi 5) na ndio uwezo wa breki zake (BHP)- Brake horse power - ukizidisha lazima utatuletea story za kufeli breki tunazoambiwa na polisi. Ukifuata masharti ya mtengenezaji gari, suala la kufeli breki ni aghalabu sana kutokea.Nilikua natafakari hapa. Sijajua kama haya malori (Fuso) ndio yenye shida au Kuna tatizo lingine.
Yaani ajali tatu ambazo zimeripotiwa kwa kipindi kisichozidi siku 3, Fuso zimehusika.
Ya kwanza ni Ile ya Mkata iliyohusisha Fuso na Coaster iliyokua imebeba mashabiki wa Yanga.
Ya pili ilihusisha Fuso na basi la kampuni ya Burudani basi likitokea Dar kwenda Tanga.
Ya tatu ni Fuso na Basi la kampuni ya Najimunisa iliyotokea Mkoani Shinyanga.
Nadhani nasema "nadhani" Kuna umuhimu wa kuangalia haya malori