Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

Idara ya usalama wa taifa ni dubwasha moja kubwa hata rais halijui vizuri,mifano yako uliyotoa inaonesha u mweupe kiasi gani ghorofa ya juu ya mwili wako
 
Idara ya usalama wa taifa ni dubwasha moja kubwa hata rais halijui vizuri,mifano yako uliyotoa inaonesha u mweupe kiasi gani ghorofa ya juu ya mwili wako
Umekurupuka kujibu Ndiyo maana hata ulichojibu hakihusiani, sote tunajua TISS ni taasisi kubwa Ndiyo maana kwa ukubwa wake inapaswa kufanya kazi kwa umakini mkubwa siyo kila mtu anaichafua taasisi hii kwa kuwa yupo ccm halafu wanakaa kimya hii Ndiyo inayowafanya watu kuwa na Mashaka nayo.

Unaposhindwa kujibu hoja kikamilifu na kukimbikia matusi kama silaha hapa ndipo unapoonesha ujinga uliopitiliza maana aliye na kitu kichwani huanza kujibu hoja kikamilifu.

Inaonekana mifano iliyotolewa ya Sabaya Ndiyo imekukera au wewe ni mshirika wake na je kwani hakuwahi kuhusika katika uovu na kukamatwa na kitambulisho cha TISS? Na pole kama ni mshirika wake!
 
Idara ya usalama wa taifa ni dubwasha moja kubwa hata rais halijui vizuri,mifano yako uliyotoa inaonesha u mweupe kiasi gani ghorofa ya juu ya mwili wako
Acha uwongo,
Idara ipo chini ya sheria ya mwaka 97 , idara iko chini ya Rais na inawajibika kwa Rais ambaye ndiye Master.

Kaome sheria ya Tiss mkuu.

Usije ukachanganya kati ya Idara na 'Deep state'
 
Acha uwongo,
Idara ipo chini ya sheria ya mwaka 97 , idara iko chini ya Rais na inawajibika kwa Rais ambaye ndiye Master.

Kaome sheria ya Tiss mkuu.

Usije ukachanganya kati ya Idara na 'Deep state'
So kabla ya 1997 idara haikuwepo!?..jielimishe kuhusu nchi yako babu,vitu ambavyo wanasiasa(rais) hawavijui kiundani ni jeshi na idara za usalama
 
Ukiona TISS kaletwa kwenye siasa ni aidha huyo siyo mtu wa shughuli pevu au kazeeka,watu wa shughuli pevu hata majina wanauojulikana mtaani siyo yao na Wala hutowasikia Wala kuwaona
 
Halafu vile kunyoa vyema,kuvaa Suti na miwani myeusi halafu kujifanya wako serious ndo nini??....
Ushamba tu, zamani hao watu ilikuwa vigumu kuwajua lakini hawa vibaka wa sasa hivi wanajitambulisha kwa mbwembwe zao za kitoto
 
MJustification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea.
MDENI NYOKO ANA NYOTA YA UTAMBUZI
 
Ukisoma kwa makini chanzo Cha kukamatwa ndege yetu huko Netherlands utaona wazi kuwa huu ni mchongo wa wazi kabisa.

Kwa niaba ya watanzania wazalendo nauliza ndege yetu ilifuata Nini Nethelands?
Hizi ni hujuma dhidi ya shirika letu la ndege kwamba ndege zotezikamatwe then tajiri fulani aanzishe la kwake.au hatutumii akili
 
Tunapenda sana ccm ikae pembeni lakini sasa mvadala wake uko wapi?
Maama wapinzani wote sasa wako kwenye payroll hata hawasikiki
 
Unakuta mtu alifeli darasa la nne, akafeli la saba, akafeli from 2 na foem 4 akazungusha halafu ana PhD ya kupewa
Inaonekana umekwenda kufukua makaburi. Soon Siri elimu take ni ya kuunga unga tu
 
Hiyo kampuni ilifanya kazi haikufanya? Kama una wato alafu wanasoma hii coment yako sijui wanakuchukulia je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…