Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Utamu wa mayai haya sio tu ni kuna yana nutrients nyingi kuliko za kuku bali hata ratio yake ya kiini na maji ni kubwa na hivyo kuyafanya yawe matamu zaidi
 
Tuka tumeanza kuomba bei hadi leo kimya big????
 
Wiki hii nilibahatika kwenda sehemu moja ambayo kuna jamaa alishauriwa kutumia mayai ya kware kwasababu alikuwa ana gout miguu na mikono ilikuwa imejaa sana na kuvimba ila baada ya kutumia chakula hiki bora kwa wiki mbili miguu na mikono imeisha ile uvimbe na maumivu yamepungua sana kiasi kwamba anaweza kutembea bila shida, kweli mayai haya ni chakula bora kwenye afya zetu hata kwa matatizo ambayo mengine tumejitakia kwasababu ya ulaji mbaya unarestore cell za mwili na kuimarisha kinga
 
inaendelea kunishangaza kila siku chakula chenye manufaa mengi kama hiki tulikuwa wapi siku zote hatukijua jaamani kweli kwenye ulimwengu wa mtandao hatutakiwi kuwa nyumba tupate maarifa tutumie vitu vyema kwa maendeleo mema ya afya yetu
 
Naamini mpaka sasa umepata kusikia faida za mayai ya kware na nyama yake nayo haina mafuta na ni tamu ukihitaji tafadhali piga 0788-318671 bei yake ni Tshs 10,000 kwa mmoja. Ahsante
 

Attachments

  • Avatar jf.jpg
    7.5 KB · Views: 459
yoyote anayehitaji kware aweke order mapema. nataka.niweke mayai kwenye enccubetor. bei ni 4000 wa week 1.
contact 0779420000.
 
 
 
Kutokana na nutrients nyingi zilizopo kwenye mayai ya kware jumla ya 78 inampa mtu anayatumia kupata afya njema kwenye viyai vidogo hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…