Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Mayai ya kware yana uwezo mkubwa katika kurekebisha na kurudisha kwenye hali yake ya awali chembe chembe hai za mwili hivyo kutanjwa mojawapo ya chakula bora kwaajili ya binadamu hasa katika kuweka mwili vyema
 
Nauza mayai ya kware ni mazuri kwa afya yako yanaongeza kinga mwilini na ni moja ya chakula bora kwasababu yana nutrients nyingi ambazo ni muhimu sana kwa makuzi, akili na viungo vya mwanadamu, pata kwa afya yako na familina yako yote ufurahie maisha ukiwa na afya njema tray la mayai 30 ni Tshs 20,000 wasilina nasi kwenye page yetuwww.ulimwenguwakware.blogspot.com au piga number 0754-222731
 
Piga namba hizi: 0682169798, 0754436126 kwa mahitaji ya Kware, Mayai ya Kware, Vifaranga vya Kware, Kware kwa ajili ya kitoweo, ushauri juu ya ufugaji wa Kware na biashara ya Kware kiujumla.

PIA

TheWisdom Artwork and Printing inakaribisha oda za kazi za sanaa na uchapaji- Printing, kwa logo/lebo/nembo za aina mbali mbali. Tunafanya ubunifu wa Logo/lebo/nembo mbali mbali kama za shule, makampuni, Vikundi vya kibiashara na kijamii, vyama vya kidini, vyama vya siasa n.k.

Pia Tunachapa/Ku-print logo zilizobuniwa tayari. Dar es salaam tupo Sinza karibu na iliyokuwa Vatcan Hotel, kwa Mwanza tupo njia ya kwenda CAPRIPOINT jirani na chuo cha Bank kuu-BOT.

Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo: 0682169798, 0754436126.

KARIBUNI!
 
PIGA NAMBA HIZI: 0682169798, 0754436126 kwa mahitaji ya Kware, Mayai ya Kware, Vifaranga vya Kware, Kware kwa ajili ya kitoweo, ushauri juu ya ufugaji wa Kware na biashara ya Kware kiujumla.

PIA


TheWisdom Artwork and Printing inakaribisha oda za kazi za sanaa na uchapaji- Printing, kwa logo/lebo/nembo za aina mbali mbali. Tunafanya ubunifu wa Logo/lebo/nembo mbali mbali kama za shule, makampuni, Vikundi vya kibiashara na kijamii, vyama vya kidini, vyama vya siasa n.k. Pia Tunachapa/Ku-print logo zilizobuniwa tayari. Dar es salaam tupo Sinza karibu na iliyokuwa Vatcan Hotel, kwa Mwanza tupo njia ya kwenda CAPRIPOINT jirani na chuo cha Bank kuu-BOT. Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo: 0682169798, 0754436126. KARIBUNI!
 
Mbona ndege wenyewe wanakuwa wadogo sana?? Wanafaa kuliwa kweli?

Ndio nami najiuliza........
Na kumeingia biashara ya mayai ya kware kwa kishindo kikuu.........labda Bro Wise ungetuelimisha kwanza faida za hayo mayai Ili tuelewe........biashara ianzie hapo.......
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, kwa umbo Kware huwa ni mdogo ukimlinganisha na kuku, lkn hiyo haizuii kwa haja ya kuliwa, labda cha msingi ni kujiuliza utahitaji wangapi kulingana na wingi wa watu watakaoshiriki kumla.....
 
Mayai haya bado yanaendelea kunishangaza kwa jinsi yalivyo chakula bora na bado tulikuwa hatujui tumeamka kwenye wakati muafaka tutumie tehama kujinufaisha na kuendelea kupata faida zake kwa kuyala na kusambaza habari zaidi kwa ndugu na jamaa zetu kwa chakula hiki bora.
 
Mayai haya yanaendelea kuonyesha jinsi gani yalivyo chakula bora kwa miili ya watu bila kuwa na madhara kwenye mwili hasa kwa wale ambao gesi inajaa tumboni inasaidia kuiweka vyema pata yako mawili na weka kijiko cha asali then kunywa kwa wale ambao wanaweza kutumia mabichi utaona faida yake.
 
Mayai haya ni mazuri kwa afya yako pata kwa kuimarisha afya yako. Napata elimu zaidi kwa ku google na kusoma kutoka kwenye sehemu mbalimbali uone na kujifunza uzuri wake.
 
Kwa wale wenye maswali zaidi wanaweza kuni pm au wakayaweka hapa kwa msaada wa wote wanaopenda kujua kuhusu bidhaa hii
 
Mayai ya Kware yanapatikana hapa dar es salaam kwa bei nzuri sana ya Tsh. 25,000/= tu. Yana faida lukuki kwa mtumiaji. Anayehitaji awasiliane nami kwa no 0762046261.
 
HERE ARE SOME OF THE HEALTH BENEFITS OF EATING QUAIL EGGS FOR ALL AGE GROUPS
1. Source of vitamins A, B1, B2, B6, B12 and vitamin D. Plus iron, magnesium, zinc and copper.
2. Helps acquires strong immune system and improve metabolism
3. Helps in healing gastritis and ulcers
4. Increase haomoglobin level and remove toxins from body
5. Treatment of tb and asthma
6. Helps inhibit cancerous growth
7. Eliminate and remove stones from liver, kidneys and bladder.
8. Stimulates intellectual activity
9. Accelerates recuperation after stroke and strengthen heart muscle
10. Stimulation of intimate potency
11. Nourishes prostate gland
12. Treat heart disease
13. Treat nervous system
14. Beneficial for physical ans metal balance of foetus for pregnant women
15. Improves cd4 (240 eggs per dose) for hiv aids patients.
 
Mayai ya kware yanasaidia sana katika kuweka ngozi vyema pia ni chakula bora kwa afya yako na familia yenu yote
 
Kutokana na nutrients zake kuwa nyingi mayai haya madogo ni moja ya chakula bora kwa binadamu yana jumla ya nutrients 78 ambavyo ni muhimu katika afya ya mwanadamu
 
Pata leo ujionee tofauti katika afya yako na katika maisha ya familia yako
 
Back
Top Bottom