Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ukipata habari ni nzuri ila ukipata knowledge halafu ukaitumia kuongeza jambo katika maisha yako na jamii inayokuzunguka basi hapo unakuwa umeelimika leo embu jifunze ni jinsi gani mayai ya kware yanaweza kusaidia jamii yako kama chakula bora kwenye jamii
 
Mayai haya ya kware ambayo yana cholesterol nzuri kwa mwingi kama chakula yanasaidia kuondoa ile cholesterol mbaya mwilini na hivyo kukuweka vyema tupende kutumia hivi vyakula ni vizuri kwa afya zetu
 
Mayai ya kware yanavirutubisho vingi sana katika mwili wa binadamu na hivyo yanahusika katika kukuweka vyema kiafya pata leo wewe na familia yako leo
 
Mayai ya kware ni moja ya chakula bora sana kwa sababu za nutrients zilizopo kwa kujenga afya yako jiptatie leo wewe na familia yako
 
Chakula hiki ni bora kwa habari ya nutrient zina nutrient 31 ambazo hazipo kabisa katika mayai ya kuku na nyinginie 45 zimezidi za kuku hii ni kutoka USDA (United state Department of Agriculture)

Akili za kuambiwa changanyeni na za kwenu, utaishi kwa mayai ya kware hadi lini? utalisha wanafamilia wangapi mayai ya kware? huko US ndiko malnutrition ilikojichimbia, inasawasababishia pressure, uzito mkubwa, kisukari, pumu na kansa kupita sehemu yoyote ile ya dunia hii kwa nini mayai hayo yasipelekwa US na Ulaya wakaponye magonjwa yao? Babu zetu walikula mayai ya kware hadi wakaishi miaka mingi? epuka kutapeliwa badilisha tabia yako kwa kufanya mazoezi, kula vyakula visivyo kobolewa sana, vya asili, vibichi na matunda kwa wingi. Acha kula mafuta mengi, sukari na chumvi nyingi, pombe na kuvuta sigara na kuku wa wiki 2 tu.
 
Heshima nyingi ziwafikie popote mlipo wadau wa JF.

Ni mara nyingine tena kwa wale wanaopenda fursa nyingine ya ufugaji kibiashara kupitia ndege aina ya KWARE na usambazaji wa MAYAI yake.

JIPATIE ndege hao au mahitaji ya MAYAI kwa bei nafuu zaidi hapa DAR ES SALAAM....

WASILIANA NASI: 0658061787 , 0787061787
 
Kuwafuga hao ndege hakuna kibali maalum kutoka ST?
 
Ggesto

Utauliza nakulahayo mayai kunaitaji kibali??
 
Unaweza kuwatoa bandani ili wajitafutie wadudu na majani kwa muda maalum kama kuku wa kienyeji kweli!!
 
Unaweza kuwatoa bandani ili wajitafutie wadudu na majani kwa muda maalum kama kuku wa kienyeji kweli!!

Haiwezekani!!!
Kware si kuku.. Wale kwanza ni nyara ya serikali... Ikikutwa katika mazingira ambayo hayaeleweki unanyang'anywa licence..
 
Naskia mayai yake yapo juu kweli,ukiyauza hukosi 1000 mpaka 1500 kwa yai moja!
 
Heshima nyingi ziwafikie popote mlipo wadau wa JF.

Ni mara nyingine tena kwa wale wanaopenda fursa nyingine ya ufugaji kibiashara kupitia ndege aina ya KWARE na usambazaji wa MAYAI yake.

JIPATIE ndege hao au mahitaji ya MAYAI kwa bei nafuu zaidi hapa DAR ES SALAAM....

WASILIANA NASI: 0658061787 , 0787061787

unayauzaje kwa tray
 
Haiwezekani!!!
Kware si kuku.. Wale kwanza ni nyara ya serikali... Ikikutwa katika mazingira ambayo hayaeleweki unanyang'anywa licence..
Duh! Nimewawinda sana kwa manati nikiwa mdogo. Ina maana ss hv nikimkuta porini na kujiwindia nitafikishwa kwa "pilato'?
 
Back
Top Bottom