CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 287
Hiyo bei nafuu ni shillingi ngapi?
...KWARE mdogo = TSH. 3000
...KWARE mkubwa= TSH. 5000... BEI HUPUNGUA KULINGANA NA ORDER YAKO....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo bei nafuu ni shillingi ngapi?
naskia mayai yake yapo juu kweli,ukiyauza hukosi 1000 mpaka 1500 kwa yai moja!
...KWARE mdogo = TSH. 3000
...KWARE mkubwa= TSH. 5000... BEI HUPUNGUA KULINGANA NA ORDER YAKO....
kuwafuga hao ndege hakuna kibali maalum kutoka st?
Ahsante mkuu, nimechukua namba yako, na Kanga unao?
...kanga ukiwahitaji wapo wahusika ambao naweza nikakuunganisha nao.
Mbona hupokei simu?
Ahsante, kanga wanawauza shs ngapi if you don't mind.....
...that's another issue let talk back... take the upward contact.
MKuu unaauza asante kwa taarifa.. na je, na kware pia unauza, au nikinunua hayo mayai nitaweka kwa kuku ili kutotolewa? asante sana
Ukipata elimu kuhusu jambo fulani halafu ukatumia ukaona umuhimu wake basi sio vibaya ukiwajulisha na ndugu zao kutokana na mayai ya kware kuwa moja ya chakula bora kwahiyo kimeonekana kusaidia sana kuongeza kinga za mwili na kuzifanya cell za mwili kuwa imara fikiria kuongeza kwenye mlo wako wa kila siku.
Bei yako iko juu sana...kuna jamaa ananiuzia 12000 mpaka 15000 kwa tray kulingana na ukubwa wa ordertray 1 = TSH. 25,000/= (JUMLA)
= TSH. 30,000/= (REJAREJA)
Ahsante mkuu, nimechukua namba yako, na Kanga unao?