Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
Kwa sasa kware wa kuuza sina ndugu yangu
Nataka kware wa kufuga bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kware wa kufuga bei gani?
Mkuu naomba kujua jinsi ya kutambua kware jike na dume
Angalia kifuani kama wana madoa doa kwenye kifua huyu ni jike, dume wakuwa smooth kabisa hawana madoa doa kifuani na vile vile kama wameshafika wiki nane hao wanaopiga kelele ndio madume na vileve unaweza kuwakamua kwenye rectum ukiona kuna kitu kinatoka nje huyo ni dume njia hii itabidi utumie hasa kwa wale wenye rangi nyeupe.
Je, kuna tofauti kati ya Kanga na Kware? Tumainiandy
MKuu unaauza asante kwa taarifa.. na je, na kware pia unauza, au nikinunua hayo mayai nitaweka kwa kuku ili kutotolewa? asante sana
wewe unauza hawa kwale lakn hata ckumoja cjawah kuona pcha halzi za kwale wako walikwenye banda lako la kufugia ila unacho fanya nikubandika pcha tu toka kwemye internet.
yoyote anayehitaji kware aweke order mapema. nataka.niweke mayai kwenye enccubetor. bei ni 4000 wa week 1.
contact 0779420000.
Ndugu angalia post zangu za mayai ya kware nauza kila siku nilipoamua kupunguza madume ndio hili tangazo na haya madume yametokana katika batch ya kware 400 walikufa majike wengi kwahiyo watu wamenufaika na mayai ambayo natoa kila siku na hapa nimeshaudumia watu wasiopungua mia angalia kwenye uuzaji wa mayai ya kware . Nimeona nawe unashuhulika na biashara hii ungepiga tu simu na kama unataka kujifunza tulikopita wenzako unauliza tunakusaidia sio unataka kukashivu au unaingilia maada ambayo ukuinanzisha
Wakuu nipo Mwanza nahitaji mayai ya Kware Mwenye nayo tufanye Biashara
Muhim saaana Wakuu
Nawasilisha