Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Mkuu naomba kujua jinsi ya kutambua kware jike na dume
 
Angalia kifuani kama wana madoa doa kwenye kifua huyu ni jike, dume wakuwa smooth kabisa hawana madoa doa kifuani na vile vile kama wameshafika wiki nane hao wanaopiga kelele ndio madume na vileve unaweza kuwakamua kwenye rectum ukiona kuna kitu kinatoka nje huyo ni dume njia hii itabidi utumie hasa kwa wale wenye rangi nyeupe.

Mkuu naomba kujua jinsi ya kutambua kware jike na dume
 
Je, kuna tofauti kati ya Kanga na Kware? Tumainiandy
Angalia kifuani kama wana madoa doa kwenye kifua huyu ni jike, dume wakuwa smooth kabisa hawana madoa doa kifuani na vile vile kama wameshafika wiki nane hao wanaopiga kelele ndio madume na vileve unaweza kuwakamua kwenye rectum ukiona kuna kitu kinatoka nje huyo ni dume njia hii itabidi utumie hasa kwa wale wenye rangi nyeupe.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • kanga.jpg
    kanga.jpg
    20.6 KB · Views: 176
  • Nice Quail pics - Copy.jpg
    Nice Quail pics - Copy.jpg
    7.5 KB · Views: 258
Mayai ya kware ya kutotolesha yapo na yanahitaji uangalizi maalumu hasa kutoka kutangwa mpaka kuwekwa kwenye mashine hatakiwi yazidi siku 9 toka yatangwe ili kupata uwezekano wakutotoleshwa kwa mwingi na kwasababu ya care yake mara nyingi yanakuwa ghali kuliko ya kula. Ukipenda maelezo zaidi unaweza kutupigia 0754-222731

MKuu unaauza asante kwa taarifa.. na je, na kware pia unauza, au nikinunua hayo mayai nitaweka kwa kuku ili kutotolewa? asante sana
 
wewe unauza hawa kwale lakn hata ckumoja cjawah kuona pcha halzi za kwale wako walikwenye banda lako la kufugia ila unacho fanya nikubandika pcha tu toka kwemye internet.

Tumainiandy

Kama kweli unafanya genuine business jibu hoja hii
 
Last edited by a moderator:
Ndugu angalia post zangu za mayai ya kware nauza kila siku nilipoamua kupunguza madume ndio hili tangazo na haya madume yametokana katika batch ya kware 400 walikufa majike wengi kwahiyo watu wamenufaika na mayai ambayo natoa kila siku na hapa nimeshaudumia watu wasiopungua mia angalia kwenye uuzaji wa mayai ya kware . Nimeona nawe unashuhulika na biashara hii ungepiga tu simu na kama unataka kujifunza tulikopita wenzako unauliza tunakusaidia sio unataka kukashivu au unaingilia maada ambayo ukuinanzisha

Tumainiandy

Kama kweli unafanya genuine business jibu hoja hii
 
Jana kulikuwa na coverage nzuri sana kwenye TBC juu ya ndege huyu na faida zake katika maisha ya binadamu naamini elimu kama hizi zikitolewa zitasaidia katika kuleta umuhimu wa jambp hili embu leo nawe ujaribu ku google umuhimu wa mayai ya kware katika afya au benefit of Quail eggs ujionee mwenyewe au unaweza kutembele pia page yetu at ULIMWENGU WA KWARE TANZANIA. Karibu ujipatie mayai ya kware.
 
Ndugu angalia post zangu za mayai ya kware nauza kila siku nilipoamua kupunguza madume ndio hili tangazo na haya madume yametokana katika batch ya kware 400 walikufa majike wengi kwahiyo watu wamenufaika na mayai ambayo natoa kila siku na hapa nimeshaudumia watu wasiopungua mia angalia kwenye uuzaji wa mayai ya kware . Nimeona nawe unashuhulika na biashara hii ungepiga tu simu na kama unataka kujifunza tulikopita wenzako unauliza tunakusaidia sio unataka kukashivu au unaingilia maada ambayo ukuinanzisha

Mkuu nakuona hujaelewa! Kikubwa wanachotaka hawa jamaa ni angalau picha halisi ya hao kware wakiwa kwenye hlo banda unalowafugia. Natumaini umenielewa!
 
Wakuu nipo Mwanza nahitaji mayai ya Kware, Mwenye nayo tufanye Biashara, Muhimu sana Wakuu.

Nawasilisha
 
Wakuu nipo Mwanza nahitaji mayai ya Kware Mwenye nayo tufanye Biashara
Muhim saaana Wakuu
Nawasilisha

Mkuu kware wanaishi porini hapa mjini utasubiri sana, mi nakushauri nenda bush na kama una ujasiri wa kutosha nenda Serengeti National Park lakini wale jamaa wenye uniform za kijani kama makada wa CCM wakikukamata usiwaambie kama mi ndo nimekushauri kwenda huko
 
Back
Top Bottom