Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
Habarin za sikukuu
Kutokana na trends nyngi zilipita nmejifunza mengi kuptia jukwaa hili kuhsu ufugaji na kilimo kibiashara. Wenzetu waishio Dar wako mbele zaidi katika mambo mengi kutokana na maitaji harisi ya mji.
Naomba yeyote alyeko mwanza naitaji vifaranga au mayai ya kware(quails ) kwa ufugaji kibiashara. Naomba mnisaidie niingie kwenye tasnia hii, ni mwaka wa tatu natafuta kazi cjapata naona hii ni best chance to fight with unemployment and poverty
kware wapo tele vifaranga na mayai yao. njoo kirumba karibu na lakairo hotel ulizia mtaa wa vijana karibu na msikiti wa shamsia. ulizia kwa mama pink kuna ni maarufu sana hapo. kuna kwale na mayai wanauza hapo

Poa kaka mi mwnyw npo kirumba,asnte.ngoja nmtafute
Mkuu nashukuru Sana Allah
Mayai yamefika salama nyumbani
Nilimtuma Dada yangu aliekuwa anakuja Mwanza na usiku huu ndo nimetoka kumpokea na kuupata mzigo wangu
Shukran sana Mkuu
Shukran Jf
View attachment 209520
Je yanaongeza nguvu ya kiume?