Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

joto kali naamini umeptat mawasiliano ya Alikhalef kwa ajili ya kware vifaranga kama ufugaji naweza kukueleza kutokana na jinsi ilivyo shida kutotoleka hiyo ni best deal in town sawa jipange kufanya vitu
 
mayai haya ni mazuri na yana faidanyingi sana kwenye mwili wa wanadamu kwa nchi yetu ndio tumeanza kujifunza naomba tusaidiane katika kuelewa zaidi faida yake tujifunze chakula hiki bora kwa miili yetu
 
Embu jiulize kwanini Mungu alipotaka kuwapa nyama mwana wa Israel kule jangwani hakuwapa kuku au ndege yoyote mwingine ila kware soma kutoka 16:13 tunajua walikula mana na waliletewa kware, kwa uelewa huo mnyama huyu ni muhimu katika afya ya binadamu
 
Habarin za sikukuu
Kutokana na trends nyngi zilipita nmejifunza mengi kuptia jukwaa hili kuhsu ufugaji na kilimo kibiashara. Wenzetu waishio Dar wako mbele zaidi katika mambo mengi kutokana na maitaji harisi ya mji.

Naomba yeyote alyeko mwanza naitaji vifaranga au mayai ya kware(quails ) kwa ufugaji kibiashara. Naomba mnisaidie niingie kwenye tasnia hii, ni mwaka wa tatu natafuta kazi cjapata naona hii ni best chance to fight with unemployment and poverty
 
Mm nipo dar. Nawauzia watu tofauti tanzania hawa kware. Nitajaribu kukuunganisha na mmoja wa wateja watakao kuja dar kuchukua kware akuletee na wewe. Juzi tu alikuja mtuu kuchukua anaelekea mwanza.
 
Call 0779420000 kinondoni

Mkuu nashukuru Sana Allah
Mayai yamefika salama nyumbani
Nilimtuma Dada yangu aliekuwa anakuja Mwanza na usiku huu ndo nimetoka kumpokea na kuupata mzigo wangu
Shukran sana Mkuu
Shukran Jf
ImageUploadedByJamiiForums1418167531.010030.jpg
 
kware wapo tele vifaranga na mayai yao. njoo kirumba karibu na lakairo hotel ulizia mtaa wa vijana karibu na msikiti wa shamsia. ulizia kwa mama pink kuna ni maarufu sana hapo. kuna kwale na mayai wanauza hapo
 
Wanauzaje Mkuu je waweza nipatia hio no ya mama Pink
 
kware wapo tele vifaranga na mayai yao. njoo kirumba karibu na lakairo hotel ulizia mtaa wa vijana karibu na msikiti wa shamsia. ulizia kwa mama pink kuna ni maarufu sana hapo. kuna kwale na mayai wanauza hapo

Poa kaka mi mwnyw npo kirumba,asnte.ngoja nmtafute
 
Mayai ya kware yanasaidia vile vile katika kufanya mmeng'enyo wa chakula ukae vizuri na kwa wale ambao matumbo yao yanajaa gesi ukitumia mayai haya hasa yakiwa mabichi na asali kidogo yanakusaidia kupunguza gesi tumboni. Chakula hiki ni moja ya chakula kizuri sana kwa afya yako pata leo kwa familia yako
 
Pata ujionee faida yake uzuri wa ngoma waswahili wanasema ingia uchezee jaribu mayai haya uone utamu wake na umuhimu wake katika afya yako
 
Kwa kuwa mayai haya yana uweza mkubwa wa kufanya marekebisho katika mwili na ni chakula bora ukipata haya, ukawa na balance diet na mazoezi plus Kegel exercise nguvu za kiume lazima zitakuwa juu. ingawa watu wenye kisukari walioshare nami waliona ngozi zinarudi haiponyei na nguvu zao za kijinsia zikiimarika naamini na wale ambao hawana maradhara hayo wanaweza kuona faida hizo wakitumia chakula hiki bora kwa mwili wa binadamu. Angalizo ukosefu wa nguvu za kiume mara nyingi unasababishwa na vitu vingi ni muhimu kupata ushauri wa kitaalamu kujua nini kimesababisha na ndipo utafute suluhisho.

Je yanaongeza nguvu ya kiume?
 
Mayai ya kware yanavirutubisho vingi sana katika mwili wa binadamu jipatie uone tofauti katika afya yako
 
[h=2][/h]
Piga namba hizi 0682169798, 0754436126 kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga vya Kware, Kware kwa ajili ya nyama/kitoweo pamoja na ushauri wa ufugaji wa Kware na biashara ya Kware kwa ujumla.​
 
Nimepata story hasa kwa watu wa Iringa wanajua sana kuhusu mayai haya na ni watoto tu walikuwa wanaruhusiwa kula hii ikanikumbusha kama vile Japan walivyoweka sheria kuwa mayai haya mtoto lazima ayale ili kuimarisha ubongo wake. Hivi ndio utajua kuwa wazee wetu walijua baadhi ya mambo ambayo sisi hatukuyajua pata kwa ajili ya familia yako
 
Back
Top Bottom