Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Kutokana na nguvu ya kurekebisha (restorative power) cell za binadamu chakula hiki ni kizuri kwa familia yako pata leo unufaike na yale yaliyomo kwenye mayai haya
 
nauza vifaranga wa kware na kware wakubwa kwa bei poa sana.
napatikana tegeta 0755815174
 
nahitaji hao kwale upo maeneo gani mkuu. no yangu ni 0776491308 nijulishe nikutafute
 
Tupe bei bana wafugaji tupo ila kwa nn usiweke bei mpaka tuanze kuuliza …??
 
Kware
Siku moja-2000
Week moja- 3500
Week mbili- 4500
Week tatu- 5000
Week nne-6000
Week tano-7500

Week sita-8000
Week saba 9000
Week nane na kuendelea 10000
 
Mayai ya kware ni yanasaidia sana katika kuondoa na kupunguza kuvimba kwa mwili na hivyo kumfanya mtu ambaye ana gout au anakaribia kupata gout kuwa katika hali nzuri na vilevile inasaidia kutoa sumu mwilini na hivyo kufanya moja ya chakula bora kwa mtu kukila, anza kutumia uone faida zake
 
Mayai haya yameonyesha kuwa yanafaa sana katika kuimarisha ubongo wa watoto na hivyo kuongeza cordinations nzuri katika kukuwa kwao kwa wale watoto waliochelewa kuongea na kutembea mayai haya yanawasaidia kuwa vyema ndio maana Japan wameweka umuhimu sana kwa watoto wao kula mayai haya na mama wajawazito kwa ajili ya kujenga bongo zao
 
Mayai matatu kila siku kwenye mloa wako yanaweza kukufanya uongeze kinga za mwili wako na hivyo kuwa na siha na afya njema kila siku weka mkakati wa kuongeza chakula hiki bora kwenye mlo wako
 
Mayai ya kware yanasaidia katika makuzi ya familia yako kama chakula bora pata kwa faida ya wanafamilia wote baba mama na watoto.
 
Kwa sasa wakuuza sina ndugu ila kuna thread hapa ipo kuna mtu anauza unaweza kusearch utapata contacts zake mimi ninayo madume tu kwa sasa ambayo ndio ninauza nataka kupunguza kwenye stock

nahitaji kware kwa ajili ya kufuga tafadhari namba yangu ni 0762782130
 
Back
Top Bottom