Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

Shida wanajua yatapita waendelee kutafuna pesa zao walizokwapua..!!

Hao nao ni walewale wana uchu wa madaraka..!!
Ajidanganya, Samia, Kikwete, Rostam na Abdul wanaiona hii nchi, rasilimali zake zote, kama mali yao binafsi. Watu wake kama watumwa wao, wawe CCM au upinzani.

Yoyote anayetaka uongozi, urais anayepigania katiba mpya, maslahi ya Tanganyika atachafuliwa, kuuwawa, kufungwa, kutekwa na kuteswa.

Namshauri awe shahidi kwenye mahakama ya kimataifa, aanzishe kampeni kwenye vyombo vyote vya habari duniani baada ya kusepa nje ya Tanzania, asipofanya hivyo watamuua hivi karibuni.

Bora ufe kusaidia harakati za ukombozi, kuliko kufa kindezi, kiboya na kudhalilishwa hovyo.
 
Hivi kwanini watu kama hawa, Nchemba, Nchimbi, Polepole, Mhagama wanajua wanawindwa kuuwawa kwanini wasijilipue.

Kwa nafasi zao hawashindwi kukusanya ushahidi usio na shaka, kukimbia nchi na kuwapa mahakama ya kimataifa, vyombo vya habari na wadau wa maendeleo huo ushahidi.

Wakibaki nyumbani watauliwa anyway, wakitoa ushahidi wanaweza kuwa salama na kulikomboa taifa kutoka kwa hawa wauaji.
Wanapenda madaraka sana.
 
Wanapenda madaraka sana.
Hii inaonyesha kiwango chao kidogo sana cha kutambua dhamira halisi ya Samia, Kikwete, Abdul na familia zao. Hawa wako tayari kuua hata nusu ya Watanzania ili wabaki madarakani.

Tanzania kwao ni mali yao binafsi. Yeyote ambaye anasema siyo mali yao au kujali maslahi ya nchi wako radhi kumuua yeye na familia yake.

Mifano ni mingi. Huyu Nchemba si alipiga magoti juzi, Ndugai alisema nimekosea sana lakini bado wakapita naye. Jenista mhagama alijua mengi, Polepole, Nchimbi walifikiri ni wastaarabu wanakosoa kwa staa watavumiliwa. Lissu,Kitima, Gwajima, Warioba, Madeleka wote walifanyiwa kampeni chafu kuwachafua au kuwaumiza.
 
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.

Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.

Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?

Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
Alimanusra angeenda kuzimu!
 
Hapo kuna sukuma gang wanaotafuta urais kwa udi na uvumba, kuna kundi la Nchimbi likiongozwa na maaskofu wa RC, awe makini sana na asali sana
 
Hivi kwanini watu kama hawa, Nchemba, Nchimbi, Polepole, Mhagama wanajua wanawindwa kuuwawa kwanini wasijilipue.

Kwa nafasi zao hawashindwi kukusanya ushahidi usio na shaka, kukimbia nchi na kuwapa mahakama ya kimataifa, vyombo vya habari na wadau wa maendeleo huo ushahidi.

Wakibaki nyumbani watauliwa anyway, wakitoa ushahidi wanaweza kuwa salama na kulikomboa taifa kutoka kwa hawa wauaji.
Mi sikuwahig hata kuona wala kujua kama eti Muhagama naye alikua na umuhim huo mpaka auawe. Alikua na uzito gani mama wa watu yule!?
 
Back
Top Bottom