Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja
Huyo Rubani hana akili. Kwanini asingeipeleka ikatua kwenye Pori la Msata? Pumzika kwa Amani Filikunjombe.
 
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.

Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.

Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?

Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
Ni mwendo ule ule wa safisha safisha!?

Kwasasa usafiri wa ndege sio salama tena!!?

Sasa viongozi wanalazimishwa kutumia miguu au baiskeli kusafiri angalau wanaweza fika salama kuliko vyombo vya moto!

Kuna "the mechanic" wa Jason Statham wana "fix" mambo kipindi hiki!

RIp Chivayo the blood suckers sponsor !

Nawaza na kuwazua!
 
Moyo ukalia paaaa😹😹
FB_IMG_17898105549876133.jpg
 
tukio hilo lilitokea wakati ndege hiyo ikiwa kwenye maandalizi ya mwisho ya kuruka kwenye njia ya ndege (runway). Rubani anaripotiwa kupokea ishara ya hitilafu kwenye injini moja wakati ndege ikitaka kuanza kupaa, hatua iliyomfanya asitishe safari mara moja na kuigeuza ndege kurudi katika eneo la watu mashuhuri (VIP).
 
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.

Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.

Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?

Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
 
Attachments

  • IMG_20261001_042744_011.jpg
    IMG_20261001_042744_011.jpg
    217.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20261001_051026.jpg
    Screenshot_20261001_051026.jpg
    225.4 KB · Views: 6
  • 20260930_221723.jpg
    20260930_221723.jpg
    57.6 KB · Views: 5
  • IMG-20260930-WA0065.jpg
    IMG-20260930-WA0065.jpg
    156 KB · Views: 8
  • IMG-20260930-WA0066.jpg
    IMG-20260930-WA0066.jpg
    159.2 KB · Views: 7
  • IMG-20260930-WA0064.jpg
    IMG-20260930-WA0064.jpg
    53.5 KB · Views: 8
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.

Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.

Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?

Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
Ndiyo maana tumeona Picha akiwa kwenye SGR ,noma sana rubani asingesingusi basi angekuwa "CHIVAYO".
 
Back
Top Bottom