Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kuna vitu vinaambukiza.. Vingine vina nguvu ya uvutanoHivi mparee nikuulize kitu, Kiimani ukiona mambo kama haya ni kwamba zilailiii yupo rada ni anakuwinda muda wote!?
Kuna vitu vinaambukiza.. Vingine vina nguvu ya uvutanoHivi mparee nikuulize kitu, Kiimani ukiona mambo kama haya ni kwamba zilailiii yupo rada ni anakuwinda muda wote!?
Hivi kwanini watu kama hawa, Nchemba, Nchimbi, Polepole, Mhagama wanajua wanawindwa kuuwawa kwanini wasijilipue.IPO siku yake atajaa watapita naye..!!
Shida wanajua yatapita waendelee kutafuna pesa zao walizokwapua..!!Hivi kwanini watu kama hawa, Nchemba, Nchimbi, Polepole, Mhagama wanajua wanawindwa kuuwawa kwanini wasijilipue.
Kwa nafasi zao hawashindwi kukusanya ushahidi usio na shaka, kukimbia nchi na kuwapa mahakama ya kimataifa, vyombo vya habari na wadau wa maendeleo huo ushahidi.
Wakibaki nyumbani watauliwa anyway, wakitoa ushahidi wanaweza kuwa salama na kulikomboa taifa kutoka kwa hawa wauaji.
yameishafutika wewe, spray haivumumilii jua kali muda mrefu mawe maandishi yamefutikaKuna mawe yapo huku singida yamechorwa Mwigulu 2015
Ingependeza sana hasa kama Samia akiwa ndaniHiyo ilipaswa ipae halafu idondoke.
Dalili ya mvua ni mawingi,kuna jitu litakufa kinywa wazi huku likiwaacha Watanganyika wakiselebuka kwa full shangwe.Kuna vitu vinaambukiza.. Vingine vina nguvu ya uvutano
Labda wafitini wake wanamtafutia kona kama walivyomfanyia FilikunjombeNinasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?
Toka Italy tulikaa pori ndege imepoteza dira tukatua Sudan sio Addis.
Miaka mingine Qatar A380 toka Hearthrow ilikoswakoswa na makombora tukavalishwa majacket yale na Pilote akatangaza kabisa tuko danger zone.
Na ndege ilishushwa wapi huko vijijini salama.
Kwani rubani amechoka kuishi..Huyo Rubani hana akili. Kwanini asingeipeleka ikatua kwenye Pori la Msata? Pumzika kwa Amani Filikunjombe.
Profile ya kimkakati hii mkuu, imekuja kutuandaa kwa yanayokuja. Akaunti ya tangu 2022 na ina post 5 tu ...Mimi Sijashangaa wala kuwa shocked na habari uliyoileta..
Nimeshngaa jina lako tu kujiita KUZIMU🥺
View attachment 3681151
Na watakusaka tu kwa sababu ni wazi kuwa wewe ni INSIDER wa msafara wa huyo PM wenu haramu ktk serikali haram...
La haumo ndani ya msafara, basi uko kwenye ofisi za hapohapo Airport tena zile za jirani na VIP room..🚶🚶🚶