peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Nao ni wajinga wa Mwisho kabisa,ni wala pundaWanyiramba huwambii kitu kuhusu huyo jamaa yao.
Nao ni wajinga wa Mwisho kabisa,ni wala pundaWanyiramba huwambii kitu kuhusu huyo jamaa yao.
Wenyewe wanaamini kuna siku atakuwa Raisi😄Nao ni wajinga wa Mwisho kabisa,ni wala punda
Huyo hata angekufa hana faida zaidi ya siasa za hila na ghiliba.Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.
Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.
Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?
Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!

Ndege ya rais mkapa ilighairi safari na kurudi airport baada ya hitilafu kwenye injini,ambayo baadae iligundulika palikua na nyukiHitilafu ya Engine ni emergency ya kawaida?
Ili iwe na faida, ulitaka iweje?Haina faida kama utakubali kuendeshwa na tumbo badala ya kichwa(akili).
Nani ana faida?Huyo hata angekufa hana faida zaidi ya siasa za hila na ghiliba.