Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.

Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.

Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?

Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
Ndege ilikuwa Airprt halafu ikarud Airport. Ndege ina mapepo hiyo.
 
Isingeweza kuruka kama isingekuwa imefanyiwa check up..
Lakini kuna baadhi ya matatizo huja ghafla tu hata kama mwanzoni halikuonyesha dalili.
Tusubiri ripoti itasema tatizo lilisababishwa na nini.
 
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.

Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.

Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?

Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
Walishazuiwa kutumia hy private charter hawataki kusikia ushauri wa kitalaam na kiusalama!!
 
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.

Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.

Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?

Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
Ikisema ni fit na za chamani,Mimi sitabisha,ikisema fit na za Kiswahili siwezi kubisha hapa ilituwe na sahihi la kusema wajitokeze wanaoujua vyema mchongo wa ccm ndani,sebuleni na chumbani mwao!
 
Attachments

  • 1000125788.jpg
    1000125788.jpg
    224 KB · Views: 14
Back
Top Bottom