babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Utaamini vipi km we ni mtu wa kusafiri na bodaboda tu,hata bajaj kwako ni luxury expensive transport.
Ajidanganya, Samia, Kikwete, Rostam na Abdul wanaiona hii nchi, rasilimali zake zote, kama mali yao binafsi. Watu wake kama watumwa wao, wawe CCM au upinzani.Shida wanajua yatapita waendelee kutafuna pesa zao walizokwapua..!!
Hao nao ni walewale wana uchu wa madaraka..!!
Wanapenda madaraka sana.Hivi kwanini watu kama hawa, Nchemba, Nchimbi, Polepole, Mhagama wanajua wanawindwa kuuwawa kwanini wasijilipue.
Kwa nafasi zao hawashindwi kukusanya ushahidi usio na shaka, kukimbia nchi na kuwapa mahakama ya kimataifa, vyombo vya habari na wadau wa maendeleo huo ushahidi.
Wakibaki nyumbani watauliwa anyway, wakitoa ushahidi wanaweza kuwa salama na kulikomboa taifa kutoka kwa hawa wauaji.
Hii inaonyesha kiwango chao kidogo sana cha kutambua dhamira halisi ya Samia, Kikwete, Abdul na familia zao. Hawa wako tayari kuua hata nusu ya Watanzania ili wabaki madarakani.Wanapenda madaraka sana.
Alimanusra angeenda kuzimu!Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.
Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.
Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?
Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
Rubani atatumbuliwaHapo wa kumpa pongezi ni rubani. Kwa kubaini tatizo na kuchukua hatua sahihi, kwa muda sahihi, na kuibakiza ndege chini.
Hapo kuna sukuma gang wanaotafuta urais kwa udi na uvumba, kuna kundi la Nchimbi likiongozwa na maaskofu wa RC, awe makini sana na asali sanaNdege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.
Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.
Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?
Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
Mi sikuwahig hata kuona wala kujua kama eti Muhagama naye alikua na umuhim huo mpaka auawe. Alikua na uzito gani mama wa watu yule!?Hivi kwanini watu kama hawa, Nchemba, Nchimbi, Polepole, Mhagama wanajua wanawindwa kuuwawa kwanini wasijilipue.