Sana,,wala hawa sio watanzania..wamejawa na wivu utafikiri ndege ni za familia ya magufuli...jamii forum inachosha mno,, huku ni mkusanyiko wa kakikundi cha wahaini...Mkuu;
Wala usipoteze muda kujenga hoja kwa watu kama hawa!
Kumbuka ukijibishana na mpumbavu kwenye upumbavu wake na wewe utaonekana mpumbavu!
Ni ushauri tu! Samahani kama nitakukwaza!
Huyo unayemjibu anayo maumivu makubwa ya moyo na hayatamtoka mpaka 2025.Nimeifuatilia ndege toka inaondoka US mpaka inafika hapa hakuna sehemu ilisimama kujaza mafuta
NimekuelewaHuyo unayemjibu anayo maumivu makubwa ya moyo na hayatamtoka mpaka 2025.
Ahaa tutakuwa tumeshafika pale asubuhi na mapema kikosi kazi tukiweka mambo sawa
Acheni ushamba nyie dude limetuwa fedha ya umma hiyo ukijuwa pia kuna wizi na rushwa imekatazwa CAG asikaguwe mujitundike nyie Kamba make mutafungwa kuliko hata Seth na Ruge Alisa wezi wakubwa nyie washamba wa head munadharilisha nchiMkuu, tafuta kamba ukajitundike. Dude ndo limeshatua na kupokelewa rasmi hapa Mwl Nyerere International Airport.
Tulia uzalishweKwani wewe huyo si ndiye babako?
WoteSio mabeberu tena?
Tulia uzalishwe
Siku hizi hatulioni likikatiza angani, sijui linamuogopa mkulima?
Jukwaa limevamiwa na vibaka wa siasaTulia uzalishwe