Ndege kubwa ya abiria ya C919 yaanza rasmi kutumika nchini China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
VCG111438946272.jpg
Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga.

Utengenezaji wa ndege kubwa unajulikana kama kilele cha kiwango cha viwanda. Kwa muda mrefu, soko la ndege kubwa za abiria duniani lilihodhiwa na Kampuni ya Boeing ya Marekani na Kampuni ya Airbus ya Ulaya. Kampuni ya Bombardier ya Canada na Kampuni ya Mitsubishi Heavy Industries ya Japan ziliwahi kujaribu kutengeneza ndege kubwa za abiria, lakini zote zilishindwa baada ya juhudi za miaka mingi.

C919 imekaribishwa na soko la safari za anga tangu ilipokamilika na kuanza kujaribiwa. Kutokana na idara husika ya China, uwezo wa uzalishaji wa C919 kwa mwaka utafikia 150 katika miaka mitano ijayo, na hadi sasa, ndege hiyo imepata zaidi ya oda 1,200 za ndani na nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na 20 zilizoagizwa na Kampuni ya General Motors ya Marekani. Katika siku zijazo, C919 inatarajiwa kuwa ndege ya tatu kwa ukubwa wa abiria duniani baada ya Boeing na Airbus.

Mafanikio ya ndege ya C919 yameonesha hatua kubwa iliyopigwa na China katika sekta ya utengenezaji. Tukichunguza mchakato wa utafiti na utengenezaji wa C919, tunaweza kugundua kwamba ndege hiyo imehusisha karibu teknolojia zote za juu.

Ndege moja ya C919 ina vipuri zaidi ya milioni 2.5, na kila sehemu ni muhimu kwa usalama na ufanisi wa safari ya ndege, hali ambayo inaonyesha kikamilifu kwamba, sekta ya utengenezaji wa China imefikia kiwango cha juu sana.

Baada ya mafanikio ya safari ya kwanza ya kibiashara ya C919, baadhi ya watu wamesema sehemu nyingi za ndege hiyo, ikiwa ni pamoja na injini, zimeagizwa kutoka nchi nyingine, wakijaribu kukataa ukweli kuwa ndege hiyo imebuniwa na kutengenezwa na China. Lakini wanasahau kwamba, hivi leo, uvumbuzi wa kujitegemea unaendana na ushirikiano wa kimataifa. Ikilinganishwa na Boeing na Airbus, C919 imechelewa sana, hivyo ni afadhali itumie baadhi ya teknolojia ambazo tayari zipo. Zaidi ya hayo, ikilinganishwa na ndege kubwa nyingine, utengenezaji wa C919 umetegemea zaidi kampuni za ndani. Kwa mujibu wa orodha ya watoaji vipuri, asilimia 90 ya vipuri vya C919 vimetoka kwa kampuni za China, na hiki ni kiwango cha juu zaidi ikilinganishwa na kampuni za nchi nyingine za kutengeneza ndege kubwa. Aidha, kuhusu suala la injini, injini ya China aina ya “Yangtze River 1000A” inayofaa kwa ndege kubwa, imefanyiwa majaribio kwa mafanikio, na inatarajiwa kuchukua nafasi ya injini zinazotoka nje ya nchi mapema iwezekanavyo.

Katika miaka ya hivi karibuni, kutoka reli ya mwendo kasi hadi ndege kubwa ya abiria, kutoka kwa kituo cha anga ya juu hadi manowari ya kubeba ndege za kivita, China imepiga hatua kubwa katika sekta yake ya utengenezaji. Ikiwa nchi ya kwanza kwa utengenezaji duniani, China bila shaka itatoa mchango mkubwa zaidi katika kutuliza na kuboresha mnyororo wa ugavi duniani.
 
View attachment 2643096Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga.

Ina uwezo wa kubeba abiria wangapi kwa wakati m1?
 
Maelezo hayajitoshelezi kabisa. Mara kampuni zingine zilijaribu kutengeneza ndege kubwa bila mafanikio, mara ndege hiyo itakuwa ya tatu kwa ukubwa. Lakini wengi tumejitahidi kusoma hadi mwisho tujue IDADI ya ABIRIA watakaobebwa nalo hilo halipo.
Ka goole habari zake zimejaa kwenye mitandao huko
 
View attachment 2643096Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga.

Utengenezaji wa ndege kubwa unajulikana kama kilele cha kiwango cha viwanda. Kwa muda mrefu, soko la ndege kubwa za abiria duniani lilihodhiwa na Kampuni ya Boeing ya Marekani na Kampuni ya Airbus ya Ulaya. Kampuni ya Bombardier ya Canada na Kampuni ya Mitsubishi Heavy Industries ya Japan ziliwahi kujaribu kutengeneza ndege kubwa za abiria, lakini zote zilishindwa baada ya juhudi za miaka mingi.

C919 imekaribishwa na soko la safari za anga tangu ilipokamilika na kuanza kujaribiwa. Kutokana na idara husika ya China, uwezo wa uzalishaji wa C919 kwa mwaka utafikia 150 katika miaka mitano ijayo, na hadi sasa, ndege hiyo imepata zaidi ya oda 1,200 za ndani na nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na 20 zilizoagizwa na Kampuni ya General Motors ya Marekani. Katika siku zijazo, C919 inatarajiwa kuwa ndege ya tatu kwa ukubwa wa abiria duniani baada ya Boeing na Airbus.

Mafanikio ya ndege ya C919 yameonesha hatua kubwa iliyopigwa na China katika sekta ya utengenezaji. Tukichunguza mchakato wa utafiti na utengenezaji wa C919, tunaweza kugundua kwamba ndege hiyo imehusisha karibu teknolojia zote za juu.

Ndege moja ya C919 ina vipuri zaidi ya milioni 2.5, na kila sehemu ni muhimu kwa usalama na ufanisi wa safari ya ndege, hali ambayo inaonyesha kikamilifu kwamba, sekta ya utengenezaji wa China imefikia kiwango cha juu sana.

Baada ya mafanikio ya safari ya kwanza ya kibiashara ya C919, baadhi ya watu wamesema sehemu nyingi za ndege hiyo, ikiwa ni pamoja na injini, zimeagizwa kutoka nchi nyingine, wakijaribu kukataa ukweli kuwa ndege hiyo imebuniwa na kutengenezwa na China. Lakini wanasahau kwamba, hivi leo, uvumbuzi wa kujitegemea unaendana na ushirikiano wa kimataifa. Ikilinganishwa na Boeing na Airbus, C919 imechelewa sana, hivyo ni afadhali itumie baadhi ya teknolojia ambazo tayari zipo. Zaidi ya hayo, ikilinganishwa na ndege kubwa nyingine, utengenezaji wa C919 umetegemea zaidi kampuni za ndani. Kwa mujibu wa orodha ya watoaji vipuri, asilimia 90 ya vipuri vya C919 vimetoka kwa kampuni za China, na hiki ni kiwango cha juu zaidi ikilinganishwa na kampuni za nchi nyingine za kutengeneza ndege kubwa. Aidha, kuhusu suala la injini, injini ya China aina ya “Yangtze River 1000A” inayofaa kwa ndege kubwa, imefanyiwa majaribio kwa mafanikio, na inatarajiwa kuchukua nafasi ya injini zinazotoka nje ya nchi mapema iwezekanavyo.

Katika miaka ya hivi karibuni, kutoka reli ya mwendo kasi hadi ndege kubwa ya abiria, kutoka kwa kituo cha anga ya juu hadi manowari ya kubeba ndege za kivita, China imepiga hatua kubwa katika sekta yake ya utengenezaji. Ikiwa nchi ya kwanza kwa utengenezaji duniani, China bila shaka itatoa mchango mkubwa zaidi katika kutuliza na kuboresha mnyororo wa ugavi duniani.
takataka atapanda nani asiyejipenda
 
Unajua ulivyosema Ndege kubwa watu wameanza kuilinganisha na Airbus ya kubeba watu 500 nk
Kimsingi C919 ni ndege ya kawaida tu ila tofauti yake ni kuwa ni ndege iliyotengenezwa Nchini China.
Uwezo wake wa kubeba abiria ni kati ya seat 158 na 192 hivi kwa wakati mmoja.
Ila pia ina uwezo mzuri sana wa speed (kukimbia) yaweza kwenda hadi km 842 hivi kwa saa; Inamaana ukubwa wake na speed yake ni sawa na hizi za kwetu (Airbus A320 au Boeing 737) haya matoleo ndio washindani wake na ndege za ukubwa huo ndio zina soko kubwa Duniani.
Kimsingi bei yake itakuwa ni poa sana ukilinganisha na Boeing ambayo imeshashika soko hivyo C919 inaweza kuingia kwenye soko kwa kasi au kuteka soko kupitia market penetration kwa sababu ya bei......
Kuhusu ubora; taratibu za kutengeneza ndege hii zilianza tangu mwaka 2008 hivyo ni muda mrefu na imefanyiwa majaribio mengi hadi kuruhusiwa kubeba abiria lakini pia; China wako vizuri sana, ni hawa wafanya biashara wetu hutuletea vitu vya daraja la tatu tukafikiri ndio bidhaa za china zilivyo; kwa sasa hata Marekani inategemea china kwa bidhaa nyingi tu....
 
Don't trust Chinese mtapotelea angani uko mtokee mbingu ya Saba kwa mabikra 72

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Aiseee! nimecheka sana. Baada ya mjukuu kupachikwa mimba na mchina mtengeneza barabara, bibi alimwuliza binti huyo.BIBI: "mjukuu wangu, niambie hiyo mimba ya nani?" MJUKUU: "mimba ya mchina". BIBI: "Uwiiiiiiiiiii mjukuu wangu, hujui VITU VYA MCHINA HUWA HAVIDUMU?"
 
China ina soko kubwa sana la ndani hivyo hiyo ndege itanunuliwa sana humo, itakuwa na orders nyingi hivyo kufanya distribution ya costs kwa units na kupunguza bei ya ndege.
Ikishakuwa na orders nyingi za ndani itapimwa na foreign customers wenye wasiwasi kwa sasa na modernization yake baadae ndio naamini itakuwa na orders nyingi kimataifa.

Bado haujajulikana AVIC na wenzake wanakamilisha lini testing na certification ya new engine. Bado hata WS-15 engine ya fighter jet haijakamilika.
 
View attachment 2643096Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga.

Utengenezaji wa ndege kubwa unajulikana kama kilele cha kiwango cha viwanda. Kwa muda mrefu, soko la ndege kubwa za abiria duniani lilihodhiwa na Kampuni ya Boeing ya Marekani na Kampuni ya Airbus ya Ulaya. Kampuni ya Bombardier ya Canada na Kampuni ya Mitsubishi Heavy Industries ya Japan ziliwahi kujaribu kutengeneza ndege kubwa za abiria, lakini zote zilishindwa baada ya juhudi za miaka mingi.

C919 imekaribishwa na soko la safari za anga tangu ilipokamilika na kuanza kujaribiwa. Kutokana na idara husika ya China, uwezo wa uzalishaji wa C919 kwa mwaka utafikia 150 katika miaka mitano ijayo, na hadi sasa, ndege hiyo imepata zaidi ya oda 1,200 za ndani na nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na 20 zilizoagizwa na Kampuni ya General Motors ya Marekani. Katika siku zijazo, C919 inatarajiwa kuwa ndege ya tatu kwa ukubwa wa abiria duniani baada ya Boeing na Airbus.

Mafanikio ya ndege ya C919 yameonesha hatua kubwa iliyopigwa na China katika sekta ya utengenezaji. Tukichunguza mchakato wa utafiti na utengenezaji wa C919, tunaweza kugundua kwamba ndege hiyo imehusisha karibu teknolojia zote za juu.

Ndege moja ya C919 ina vipuri zaidi ya milioni 2.5, na kila sehemu ni muhimu kwa usalama na ufanisi wa safari ya ndege, hali ambayo inaonyesha kikamilifu kwamba, sekta ya utengenezaji wa China imefikia kiwango cha juu sana.

Baada ya mafanikio ya safari ya kwanza ya kibiashara ya C919, baadhi ya watu wamesema sehemu nyingi za ndege hiyo, ikiwa ni pamoja na injini, zimeagizwa kutoka nchi nyingine, wakijaribu kukataa ukweli kuwa ndege hiyo imebuniwa na kutengenezwa na China. Lakini wanasahau kwamba, hivi leo, uvumbuzi wa kujitegemea unaendana na ushirikiano wa kimataifa. Ikilinganishwa na Boeing na Airbus, C919 imechelewa sana, hivyo ni afadhali itumie baadhi ya teknolojia ambazo tayari zipo. Zaidi ya hayo, ikilinganishwa na ndege kubwa nyingine, utengenezaji wa C919 umetegemea zaidi kampuni za ndani. Kwa mujibu wa orodha ya watoaji vipuri, asilimia 90 ya vipuri vya C919 vimetoka kwa kampuni za China, na hiki ni kiwango cha juu zaidi ikilinganishwa na kampuni za nchi nyingine za kutengeneza ndege kubwa. Aidha, kuhusu suala la injini, injini ya China aina ya “Yangtze River 1000A” inayofaa kwa ndege kubwa, imefanyiwa majaribio kwa mafanikio, na inatarajiwa kuchukua nafasi ya injini zinazotoka nje ya nchi mapema iwezekanavyo.

Katika miaka ya hivi karibuni, kutoka reli ya mwendo kasi hadi ndege kubwa ya abiria, kutoka kwa kituo cha anga ya juu hadi manowari ya kubeba ndege za kivita, China imepiga hatua kubwa katika sekta yake ya utengenezaji. Ikiwa nchi ya kwanza kwa utengenezaji duniani, China bila shaka itatoa mchango mkubwa zaidi katika kutuliza na kuboresha mnyororo wa ugavi duniani.
Mpaka kufikia 2050 huenda mchina ndo atakuwa supplier wa kila kitu duniani kuanzia vijiti vya meno hadi ndege. Achana na hii bahati una population ya bilion na chenchi halafu nusu ya hawa watu wamesoma, wanajituma na wana uchumi mzuri. Unazalisha kwa gharama ndogo, mzigo una soko la uhakika na watu wanaweza kununua. Yaani kampuni ya China inaweza kuingia kwenye list ya Global Fortune 100 hata kabla haijauza bidhaa hata 1 nje ya nchi. Achana na US na wazungu wenzie, siku mchina akikaa pale juu tunaweza tusishuhudia kuanguka kwake mpaka kiama kinaitwa
 
Nadhani papuchi na dushe a.k.a Dulla open head tutaendelea kuzalisha wenyewe
 
Back
Top Bottom