Ndege kubwa ya abiria ya C919 yaanza rasmi kutumika nchini China

Boeing and airbus have been around for years, almost all countries in the world using their planes, and you think they will fall easly?
Kama quality ya airbus itakuwa the same kama C919 na cost itakuwa 30% less than that of airbus utakuwa unakichwa kigumu sana kuamin airbus , na boing biashara yao itakuwa stable ,unaona scania Zimeanza kupungua kwemye nchi zetu huoni enzi za akina CAT hipo tena ,
 
“Scania zimepungua kwenye nchi yetu”
Unajua soko kubwa la scania liki wapi?

Aviation industry ni complex, china always wana approach ya low price kwenye project zao. C919 bado ina long way to go, and at the same time mashirika yaliyopo yanaendelea ku inovate, is not kwamba wamelala or they are not aware, dont underestamate them
 
View attachment 2643096Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga.

Utengenezaji wa ndege kubwa unajulikana kama kilele cha kiwango cha viwanda. Kwa muda mrefu, soko la ndege kubwa za abiria duniani lilihodhiwa na Kampuni ya Boeing ya Marekani na Kampuni ya Airbus ya Ulaya. Kampuni ya Bombardier ya Canada na Kampuni ya Mitsubishi Heavy Industries ya Japan ziliwahi kujaribu kutengeneza ndege kubwa za abiria, lakini zote zilishindwa baada ya juhudi za miaka mingi.

C919 imekaribishwa na soko la safari za anga tangu ilipokamilika na kuanza kujaribiwa. Kutokana na idara husika ya China, uwezo wa uzalishaji wa C919 kwa mwaka utafikia 150 katika miaka mitano ijayo, na hadi sasa, ndege hiyo imepata zaidi ya oda 1,200 za ndani na nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na 20 zilizoagizwa na Kampuni ya General Motors ya Marekani. Katika siku zijazo, C919 inatarajiwa kuwa ndege ya tatu kwa ukubwa wa abiria duniani baada ya Boeing na Airbus.

Mafanikio ya ndege ya C919 yameonesha hatua kubwa iliyopigwa na China katika sekta ya utengenezaji. Tukichunguza mchakato wa utafiti na utengenezaji wa C919, tunaweza kugundua kwamba ndege hiyo imehusisha karibu teknolojia zote za juu.

Ndege moja ya C919 ina vipuri zaidi ya milioni 2.5, na kila sehemu ni muhimu kwa usalama na ufanisi wa safari ya ndege, hali ambayo inaonyesha kikamilifu kwamba, sekta ya utengenezaji wa China imefikia kiwango cha juu sana.

Baada ya mafanikio ya safari ya kwanza ya kibiashara ya C919, baadhi ya watu wamesema sehemu nyingi za ndege hiyo, ikiwa ni pamoja na injini, zimeagizwa kutoka nchi nyingine, wakijaribu kukataa ukweli kuwa ndege hiyo imebuniwa na kutengenezwa na China. Lakini wanasahau kwamba, hivi leo, uvumbuzi wa kujitegemea unaendana na ushirikiano wa kimataifa. Ikilinganishwa na Boeing na Airbus, C919 imechelewa sana, hivyo ni afadhali itumie baadhi ya teknolojia ambazo tayari zipo. Zaidi ya hayo, ikilinganishwa na ndege kubwa nyingine, utengenezaji wa C919 umetegemea zaidi kampuni za ndani. Kwa mujibu wa orodha ya watoaji vipuri, asilimia 90 ya vipuri vya C919 vimetoka kwa kampuni za China, na hiki ni kiwango cha juu zaidi ikilinganishwa na kampuni za nchi nyingine za kutengeneza ndege kubwa. Aidha, kuhusu suala la injini, injini ya China aina ya “Yangtze River 1000A” inayofaa kwa ndege kubwa, imefanyiwa majaribio kwa mafanikio, na inatarajiwa kuchukua nafasi ya injini zinazotoka nje ya nchi mapema iwezekanavyo.

Katika miaka ya hivi karibuni, kutoka reli ya mwendo kasi hadi ndege kubwa ya abiria, kutoka kwa kituo cha anga ya juu hadi manowari ya kubeba ndege za kivita, China imepiga hatua kubwa katika sekta yake ya utengenezaji. Ikiwa nchi ya kwanza kwa utengenezaji duniani, China bila shaka itatoa mchango mkubwa zaidi katika kutuliza na kuboresha mnyororo wa ugavi duniani.
Maandishi mengi alafu hakuna idadi ya abiria inayobeba..
 
Boeing and airbus have been around for years, almost all countries in the world using their planes, and you think they will fall easly?
Wako wapi Blackberry, HTC, Nokia, Philips, Panasonic, Hitachi

Walianza Boeing kabla ya Airbus ila sasa hivi Airbus imeipiku Boeing kwenye mauzo

Miaka 10 ikiyopita hakuna aliyefikiria kuwa Yutong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon zingezipindua Scania Marcopolo, Volvo, Isuzu, Nissan Diesel kwenye sekta ya usafiri wa mabasi hapa Tanzania

Boeing walishuka kimauzo baada ya matatizo ya kiufundi kwenye ndege zao za B737 MAX

Achana na kitu kinaitwa biashara usipokuwa mbunifu unapoteana tu. Biashara ni ups and downs.

Don't underestimate COMAC, C919
 
Boeing walishuka kimauzo baada ya matatizo ya kiufundi kwenye ndege zao zao za B737 MAX

Achana na kitu kinaitwa biashara usipokuwa mbunifu unapoteana tu. Biashara ni ups and downs.

Don't underestimate COMAC, C919
Sahih
 
Wako wapi Blackberry, HTC, Nokia, Philips, Panasonic, Hitachi

Walianza Boeing kabla ya Airbus ila sasa hivi Airbus imeipiku Boeing kwenye mauzo

Miaka 10 ikiyopita hakuna aliyefikiria kuwa Yutong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon zingezipindua Scania Marcopolo, Volvo, Isuzu, Nissan Diesel kwenye sekta ya usafiri wa mabasi hapa Tanzania

Boeing walishuka kimauzo baada ya matatizo ya kiufundi kwenye ndege zao za B737 MAX

Achana na kitu kinaitwa biashara usipokuwa mbunifu unapoteana tu. Biashara ni ups and downs.

Don't underestimate COMAC, C919
Umejaza mavi kichwani...wabongo mnatia kinyaa sana kwenye analysis... mbaya zaidi mnajifanya wajuaji...

Hivi unaweza ifananisha Scania na takataka kama Yutong? Unafikiri hao wafanyabiashara wangepewa same price wachangue wangeenda wapi?
China ni kwaajili yenu maskini na malofa.
 
Kati ya wewe na mzee Abood mwenye Yutong zaidi ya 50 ambaye alianza biashara ya usafiri wa mabasi tangu 1987 akaswitch kutoka Scania Marcopolo kwenda Yutong ni nani maskini na lofa?

Wewe na mzee Shabiby nani maskini aliyeanza biashara ya usafiri wa mabasi tangu miaka ya 90's mwanzoni akaswitch kutoka Scania na Volvo kwenda Yutong?

Hiyo ni mifano michache tu

Usitupigie kelele hapa na vimatusi vyako. Yutong moja ni Tshs milioni 200 hadi 300 unafikiri anayenunua ni masikini?

Keyboard warriors mna kelele sana. Piga picha mtu ana Yutong 50 huyo ni mwenzako? 🤔

20230605_021420.jpg

Aliyeagiza hizi chuma ni lofa na masikini sio?
 
Umejaza mavi kichwani...wabongo mnatia kinyaa sana kwenye analysis... mbaya zaidi mnajifanya wajuaji...

Hivi unaweza ifananisha Scania na takataka kama Yutong? Unafikiri hao wafanyabiashara wangepewa same price wachangue wangeenda wapi?
China ni kwaajili yenu maskini na malofa.
Kwanza mumshukuru Mchina ndiye aliyezitambulisha Scania hapa Bongo kwa mara ya kwanza, angekuwa na roho mbaya kwa miaka hiyo si angeleta Jiefang tipper kutoka China kwenye huo mradi

Screenshot_20230603-124339_Twitter.jpg
 
Kati ya wewe na mzee Abood mwenye Yutong zaidi ya 50 ambaye alianza biashara ya usafiri wa mabasi tangu 1987 akaswitch kutoka Scania Marcopolo kwenda Yutong ni nani maskini na lofa?

Wewe na mzee Shabiby nani maskini aliyeanza biashara ya usafiri wa mabasi tangu miaka ya 90's mwanzoni akaswitch kutoka Scania na Volvo kwenda Yutong?

Hiyo ni mifano michache tu

Usitupigie kelele hapa na vimatusi vyako. Yutong moja ni Tshs milioni 200 hadi 300 unafikiri anayenunua ni masikini?

Keyboard warriors mna kelele sana. Piga picha mtu ana Yutong 50 huyo ni mwenzako? [emoji848]

View attachment 2646437

Aliyeagiza hizi chuma ni lofa na masikini sio?
Alaf unakuta jamaa anaish kwa salary slip ikichelewa kidogo tu ananuna lkn anamletea dhihaka mtu aliyewekeza ktk yutong kadhaa na kuajir watu wengi tu
 
Nimeitoa hii sehemu
The aircraft contains “Honeywell’s (HON) electricity system and landing gear, GE’s (GE) flight recorder, CFM Leap’s engine, Parker Aerospace’s flight control system and fuel system, Rockwell Collins’ weather radar and simulate system, and Michelin’s (MGDDY) tires,” the outlet noted. All are US or European companies.

Hata matairi mchina hajatumia ya china
 
Acha uongo
 
Umejaza mavi kichwani...wabongo mnatia kinyaa sana kwenye analysis... mbaya zaidi mnajifanya wajuaji...

Hivi unaweza ifananisha Scania na takataka kama Yutong? Unafikiri hao wafanyabiashara wangepewa same price wachangue wangeenda wapi?
China ni kwaajili yenu maskini na malofa.

Wewe ndo umejaza mavi, umekariri China anatengeneza vitu feki. China ana quality zote unazohitaji kutokana na Pesa yako mfukoni.
 
China's new homegrown intercontinental jetliner C929 is expected to have 250-350 seats and reach a flight mileage of 12,000 kilometers, said the long-haul passenger aircraft's maker on Sunday, adding that the aircraft is currently in the preliminary design phase.
 
Kama quality ya airbus itakuwa the same kama C919 na cost itakuwa 30% less than that of airbus utakuwa unakichwa kigumu sana kuamin airbus , na boing biashara yao itakuwa stable ,unaona scania Zimeanza kupungua kwemye nchi zetu huoni enzi za akina CAT hipo tena ,
Kweli kabisa kama CAT na mwenzee komotsu wametamba miaka kazi kwenye mining
 
Back
Top Bottom