Kama quality ya airbus itakuwa the same kama C919 na cost itakuwa 30% less than that of airbus utakuwa unakichwa kigumu sana kuamin airbus , na boing biashara yao itakuwa stable ,unaona scania Zimeanza kupungua kwemye nchi zetu huoni enzi za akina CAT hipo tena ,Boeing and airbus have been around for years, almost all countries in the world using their planes, and you think they will fall easly?
Kama quality ya airbus itakuwa the same kama C919 na cost itakuwa 30% less than that of airbus utakuwa unakichwa kigumu sana kuamin airbus , na boing biashara yao itakuwa stable ,unaona scania Zimeanza kupungua kwemye nchi zetu huoni enzi za akina CAT hipo tena ,
Soko liko wapi?“Scania zimepungua kwenye nchi yetu”
Unajua soko kubwa la scania liki wapi?
Maandishi mengi alafu hakuna idadi ya abiria inayobeba..View attachment 2643096Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga.
Utengenezaji wa ndege kubwa unajulikana kama kilele cha kiwango cha viwanda. Kwa muda mrefu, soko la ndege kubwa za abiria duniani lilihodhiwa na Kampuni ya Boeing ya Marekani na Kampuni ya Airbus ya Ulaya. Kampuni ya Bombardier ya Canada na Kampuni ya Mitsubishi Heavy Industries ya Japan ziliwahi kujaribu kutengeneza ndege kubwa za abiria, lakini zote zilishindwa baada ya juhudi za miaka mingi.
C919 imekaribishwa na soko la safari za anga tangu ilipokamilika na kuanza kujaribiwa. Kutokana na idara husika ya China, uwezo wa uzalishaji wa C919 kwa mwaka utafikia 150 katika miaka mitano ijayo, na hadi sasa, ndege hiyo imepata zaidi ya oda 1,200 za ndani na nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na 20 zilizoagizwa na Kampuni ya General Motors ya Marekani. Katika siku zijazo, C919 inatarajiwa kuwa ndege ya tatu kwa ukubwa wa abiria duniani baada ya Boeing na Airbus.
Mafanikio ya ndege ya C919 yameonesha hatua kubwa iliyopigwa na China katika sekta ya utengenezaji. Tukichunguza mchakato wa utafiti na utengenezaji wa C919, tunaweza kugundua kwamba ndege hiyo imehusisha karibu teknolojia zote za juu.
Ndege moja ya C919 ina vipuri zaidi ya milioni 2.5, na kila sehemu ni muhimu kwa usalama na ufanisi wa safari ya ndege, hali ambayo inaonyesha kikamilifu kwamba, sekta ya utengenezaji wa China imefikia kiwango cha juu sana.
Baada ya mafanikio ya safari ya kwanza ya kibiashara ya C919, baadhi ya watu wamesema sehemu nyingi za ndege hiyo, ikiwa ni pamoja na injini, zimeagizwa kutoka nchi nyingine, wakijaribu kukataa ukweli kuwa ndege hiyo imebuniwa na kutengenezwa na China. Lakini wanasahau kwamba, hivi leo, uvumbuzi wa kujitegemea unaendana na ushirikiano wa kimataifa. Ikilinganishwa na Boeing na Airbus, C919 imechelewa sana, hivyo ni afadhali itumie baadhi ya teknolojia ambazo tayari zipo. Zaidi ya hayo, ikilinganishwa na ndege kubwa nyingine, utengenezaji wa C919 umetegemea zaidi kampuni za ndani. Kwa mujibu wa orodha ya watoaji vipuri, asilimia 90 ya vipuri vya C919 vimetoka kwa kampuni za China, na hiki ni kiwango cha juu zaidi ikilinganishwa na kampuni za nchi nyingine za kutengeneza ndege kubwa. Aidha, kuhusu suala la injini, injini ya China aina ya “Yangtze River 1000A” inayofaa kwa ndege kubwa, imefanyiwa majaribio kwa mafanikio, na inatarajiwa kuchukua nafasi ya injini zinazotoka nje ya nchi mapema iwezekanavyo.
Katika miaka ya hivi karibuni, kutoka reli ya mwendo kasi hadi ndege kubwa ya abiria, kutoka kwa kituo cha anga ya juu hadi manowari ya kubeba ndege za kivita, China imepiga hatua kubwa katika sekta yake ya utengenezaji. Ikiwa nchi ya kwanza kwa utengenezaji duniani, China bila shaka itatoa mchango mkubwa zaidi katika kutuliza na kuboresha mnyororo wa ugavi duniani.
Soko liko wapi?
Wako wapi Blackberry, HTC, Nokia, Philips, Panasonic, HitachiBoeing and airbus have been around for years, almost all countries in the world using their planes, and you think they will fall easly?
SahihWako wapi Blackberry, HTC, Nokia, Philips, Panasonic, Hitachi
Walianza Boeing kabla ya Airbus ila sasa hivi Airbus imeipiku Boeing kwenye mauzo
Miaka 10 ikiyopita hakuna aliyefikiria kuwa Yutong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon zingezipindua Scania Marcopolo, Volvo, Isuzu, Nissan Diesel kwenye sekta ya usafiri wa mabasi hapa Tanzania
Boeing walishuka kimauzo baada ya matatizo ya kiufundi kwenye ndege zao zao za B737 MAX
Achana na kitu kinaitwa biashara usipokuwa mbunifu unapoteana tu. Biashara ni ups and downs.
Don't underestimate COMAC, C919
Umejaza mavi kichwani...wabongo mnatia kinyaa sana kwenye analysis... mbaya zaidi mnajifanya wajuaji...Wako wapi Blackberry, HTC, Nokia, Philips, Panasonic, Hitachi
Walianza Boeing kabla ya Airbus ila sasa hivi Airbus imeipiku Boeing kwenye mauzo
Miaka 10 ikiyopita hakuna aliyefikiria kuwa Yutong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon zingezipindua Scania Marcopolo, Volvo, Isuzu, Nissan Diesel kwenye sekta ya usafiri wa mabasi hapa Tanzania
Boeing walishuka kimauzo baada ya matatizo ya kiufundi kwenye ndege zao za B737 MAX
Achana na kitu kinaitwa biashara usipokuwa mbunifu unapoteana tu. Biashara ni ups and downs.
Don't underestimate COMAC, C919
Kati ya wewe na mzee Abood mwenye Yutong zaidi ya 50 ambaye alianza biashara ya usafiri wa mabasi tangu 1987 akaswitch kutoka Scania Marcopolo kwenda Yutong ni nani maskini na lofa?Umejaza mavi kichwani...wabongo mnatia kinyaa sana kwenye analysis... mbaya zaidi mnajifanya wajuaji...
Hivi unaweza ifananisha Scania na takataka kama Yutong? Unafikiri hao wafanyabiashara wangepewa same price wachangue wangeenda wapi?
China ni kwaajili yenu maskini na malofa.
Kwanza mumshukuru Mchina ndiye aliyezitambulisha Scania hapa Bongo kwa mara ya kwanza, angekuwa na roho mbaya kwa miaka hiyo si angeleta Jiefang tipper kutoka China kwenye huo mradiUmejaza mavi kichwani...wabongo mnatia kinyaa sana kwenye analysis... mbaya zaidi mnajifanya wajuaji...
Hivi unaweza ifananisha Scania na takataka kama Yutong? Unafikiri hao wafanyabiashara wangepewa same price wachangue wangeenda wapi?
China ni kwaajili yenu maskini na malofa.
Alaf unakuta jamaa anaish kwa salary slip ikichelewa kidogo tu ananuna lkn anamletea dhihaka mtu aliyewekeza ktk yutong kadhaa na kuajir watu wengi tuKati ya wewe na mzee Abood mwenye Yutong zaidi ya 50 ambaye alianza biashara ya usafiri wa mabasi tangu 1987 akaswitch kutoka Scania Marcopolo kwenda Yutong ni nani maskini na lofa?
Wewe na mzee Shabiby nani maskini aliyeanza biashara ya usafiri wa mabasi tangu miaka ya 90's mwanzoni akaswitch kutoka Scania na Volvo kwenda Yutong?
Hiyo ni mifano michache tu
Usitupigie kelele hapa na vimatusi vyako. Yutong moja ni Tshs milioni 200 hadi 300 unafikiri anayenunua ni masikini?
Keyboard warriors mna kelele sana. Piga picha mtu ana Yutong 50 huyo ni mwenzako? [emoji848]
View attachment 2646437
Aliyeagiza hizi chuma ni lofa na masikini sio?
Acha uongoNimeitoa hii sehemu
The aircraft contains “Honeywell’s (HON) electricity system and landing gear, GE’s (GE) flight recorder, CFM Leap’s engine, Parker Aerospace’s flight control system and fuel system, Rockwell Collins’ weather radar and simulate system, and Michelin’s (MGDDY) tires,” the outlet noted. All are US or European companies.
Hata matairi mchina hajatumia ya china
Eleza huo ukweliAcha uongo
Umejaza mavi kichwani...wabongo mnatia kinyaa sana kwenye analysis... mbaya zaidi mnajifanya wajuaji...
Hivi unaweza ifananisha Scania na takataka kama Yutong? Unafikiri hao wafanyabiashara wangepewa same price wachangue wangeenda wapi?
China ni kwaajili yenu maskini na malofa.
Kweli kabisa kama CAT na mwenzee komotsu wametamba miaka kazi kwenye miningKama quality ya airbus itakuwa the same kama C919 na cost itakuwa 30% less than that of airbus utakuwa unakichwa kigumu sana kuamin airbus , na boing biashara yao itakuwa stable ,unaona scania Zimeanza kupungua kwemye nchi zetu huoni enzi za akina CAT hipo tena ,
We jamaa kavu sana[emoji3]Don't trust Chinese mtapotelea angani uko mtokee mbingu ya Saba kwa mabikra 72
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Huna legitimacy ya ku comment hiv..Wewe kama nani ukaongea kitu kizito namna hii mkuu?True , wachina bado sana kwenye science hiyo