Ndege maalum iliyoondoka na Kipchoge ambaye anakwenda kuweka rekodi mpya duniani

Heheee...mlishindwa kutamka km vile walivyoshindwa kutamka wao..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka motto wa nchi yenu 'harambee' na wenyewe ni legacy ya wahindi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hivi ninyi mna laana gani?

Coat of arms yenyewe mmeicopy ya Tanzania πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Ninyi wakenya hampaswi kuwazodoa sababu hata jina Kenya wamelitunga wao, yaani mnatia aibu kutungiwa jina la nchi na wageni, ndio maana ardhi yote yenye rutuba ni mali yao


Afrika hakuna wa kumcheka mwenzie likija kwa hili la wazungu, maana hata mipaka walichora wao, bila wao hakungekua na Tanganyika, wao ndio waliwapa hilo jina Tanganyika, sema tu limebuniwa kwa kutumia maneno ya Kiswahili Tanga na Nyika, ila wao ndio walisema litumike, wao ndio waliwekeza na kutengeneza kila mlicho nacho, hadi katiba, peza zenu madafu, hamna chochote kilichotokana na nyie wazembe.
Mwarabu pia aliwabaka sana nyie, ikiwemo Dar majina amebuni yeye dar ("house"), and the Arabic es salaam ("of peace")
Leo hii hakuna Mtanganyika mweusi ndani ya matajiri kumi bora walioshikilia uchumi wa Tanzania, wote waarabu na wahindi, bure kabisa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbona kama umepaniq? Tanganyika toka lini yakawa maneno ya kijerumani?

Katiba ya Tanzania imeshabilishwa zaidi ya mara 3,kwa hiyo mpaka leo kumbe bado ni Katiba ya colony la muingereza? Katiba ya kijamaa? Katiba yenye azimio la Arusha? Katiba yenye mambo ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Katiba ya vyama vingi? Acha kujishushia heshima yako finyu ulionayo humu!

Hilo la Dar bado ni petty issue sana sababu pamoja na hivyo bado lina maneno ya kiswahili kama 'salama' huwezi kulinganisha na forceful change ya 'Kirinyaga' mpaka Kenya dah! Parefu hapo

Kwenye matajiri weusi wapo wengi tu, wewe unawaona hao baadhi ya wahindi lakini ni kina Mkapa, Lowassa, Msuya unrecover, kutokana na azimio la Arusha viongozi wa umma hawakutakiwa kuwa wafanyabiashara hivyo kuna baadhi ya matajiri wa kihindi ni waajiriwa tu

Halafu hata Kenya katika matajiri 10 watano ni wahindi.
 
Khaaa!!!unamaanisha huu ujinga...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mpaka motto wa nchi yenu 'harambee' na wenyewe ni legacy ya wahindi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hivi ninyi mna laana gani?

Coat of arms yenyewe mmeicopy ya Tanzania [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tuletee list ya matajiri tanzania...20 wakwanza tuwaone hao watu weusi wako wapi
 
This is how money is made directly and indirectly sio kupiga midomo Kama mandugu zetu wa Kusini.
Midomo
 
Khaaa!!!unamaanisha huu ujinga...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1226594
1961



1964



Nani kaiba idea ya mwenzake?

Ni coincidence hizo ngao zifanane?
Ni coincidence hiyo milima ifanane?
Ni coincidence hizo creatures zipose hivyo?
Ni coincidence hiyo plantations ifanane?

Mmeiba coat of arms ya Tanzania huo ndio ukweli mchungu japo yenu ni ugly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Walipaita hivyo ila sisi wenye nchi tukabadili na kukataa legacy yao na kupaita Kariakoo, ninyi mlikubaliana nao na kuwaona wao ndio wenye akili kuwazidi wanaume wote wa Kenya opps Kirinyaga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kenya inatokana na mzungu kushindwa kutamka Kiinya ambayo Ni kamba name for Mt.Kenya.
 
Woooiiiii!!!kujeni muone coat of arms ya tanzania..eti imeibwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji54][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Kenya inatokana na mzungu kushindwa kutamka Kiinya ambayo Ni kamba name for Mt.Kenya.
Ewaaaaah! Mambo ndio haya sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha upumbavu ni Kirinyaga
 
Ewaaaaah! Mambo ndio haya sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha upumbavu ni Kirinyaga
Na Kikamba au lugha ya Aliyekuwa makamu wa Rais Kalonzo Musyoka ni? Usijifanye mjuaji Bro kubali kuelimishwa.
 

Aliyepaniki ni wewe umeandika insha, jina Tanga nyika ni la Kiswahili, lakini aliyeagiza litumike ni Muingereza, soma historia ya nchi yako.
Nchi yenu haina tajiri mweusi ndani ya kumi bora wanaoimiliki nchi.
 
Woooiiiii!!!kujeni muone coat of arms ya tanzania..eti imeibwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji54][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1226607
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Halafu mmejaza kichaka cha magugu hapo kwenye coat of arms yenu mkifikiri sisi Tanzania tumechora hiyo mimea kwa bahati mbaya au kama pambo wakati yana significance kubwa sana kuhusu muungano wa Tanganyika and Zanzibar

 
Yeye kasema waliita wenyewe
Aliyepaniki ni wewe umeandika insha, jina Tanga nyika ni la Kiswahili, lakini aliyeagiza litumike ni Muingereza, soma historia ya nchi yako.
Nchi yenu haina tajiri mweusi ndani ya kumi bora wanaoimiliki nchi.
 
Asante sana kw kuleta vitu vya kiume km hivi...wala sio watu wa mashuka wanangoja mkulu atoe agizo eti watu wakubali kesi ndio wapigwe fine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aliyepaniki ni wewe umeandika insha, jina Tanga nyika ni la Kiswahili, lakini aliyeagiza litumike ni Muingereza, soma historia ya nchi yako.
Nchi yenu haina tajiri mweusi ndani ya kumi bora wanaoimiliki nchi.
Eti Muingereza
Mjerumani kaja kaikuta Tanganyika na kaiheshimu mpaka Muingereza kamuiga
 
Kwanza niletee coat of arms ya tanganyika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…