Ndege maalum iliyoondoka na Kipchoge ambaye anakwenda kuweka rekodi mpya duniani

Hahaha rudisha makanyagio hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mzungu hoyee
 
Wacha...inauma lkn nikuzoea tu...
Ndo manake hawatoi hukumu mpka mkulu atoe agizo...

Eti mtu unalazimishwa ukubali kesi halafu ndio ulipe fine...hatari sana walai
aiseeee wanaume watz wanavaa marinda mazee....kumbe usenge ulianza zamaniii... πŸ˜€
 
Hawez vunja hiyo record tupo hapa labda wasimamishe saa akimbie kwanza kama dakika kumi ndo waanzishep
 
Those are Kenyas agricultural produce;coffee, pyrethrum, sisal, tea, maize and pineapples! Eti magugu [emoji23]

Eti Agricultural produce,
And Hunger sucks you on daily bases [emoji2]
 
Ebola imetoka marekani na HIV ikatoka Canada,lengo Lao ni kulimiliki hili bara letu na hawawezi wakalimiliki kama tupo wengi lazima watafute mbinu ya kutupunguza Kwa vyovyote vile.Mungu atukumbuke na atujalie kheri watu weusi tuwe na umoja tuweze kushinda hawa nguruwe nyeupe.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

Engineer kumbe sometimes zimo? Umetoa one of the sobererest comment ever πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Acheni utoto,,,
Thread ya Eliud ibaki kipchoge,,,,
Hizi upuzi zingine mpelekee kindergarten
 
Tumeaminishiwa huku kuwa Nchi ya Asali na Maziwa haina mapungufu haswa ya maji REDEEMER. Vipi? Njoo ufanye mapambio
Hali ya upatikanaji wa maji Tanzania huwezi fananisha na Kenya, yaani upatikanaji wa maji vijijini kwa Tanzania, Kenya haijafika hata nusu kwa mijini, imagine Nairobi tu hakuna maji, what about Lordwa?
 
Tumeaminishiwa huku kuwa Nchi ya Asali na Maziwa haina mapungufu haswa ya maji REDEEMER. Vipi? Njoo ufanye mapambio
Tanzania mpaka rural areas mifugo inakunywa maji ya taps yaani kama binadamu vile, standard hii wakazi zaidi ya 50% wa Nairobi hawapati hii privilege

Chunga usinitibue mwaya.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Ni nchi 6 ambazo zilibadilisha majina yao baada ya kupewa na Mkoloni
1. Congo -> Zaire (baadaye waka rudia jina congo)
2.Upper volta - > Bukinafaso
3. Gold Coast - > Ghana
4. Northern Rhodesia - > Zambia
5. Southern Rhodesia - > Zimbambwe
6. Tanganyika+ zanzibar - > Tanzania
Tanzania chini ya Mw. Nyerere ilikuwa ya kwanza kuondoa jina la mkoloni kwa nchi huru yao.
Miafrika mingine bado wanashikilia majina walio pewa na mkoloni
 
Tanzania mpaka rural areas mifugo inakunywa maji ya taps yaani kama binadamu vile, standard hii wakazi zaidi ya 50% wa Nairobi hawapati hii privilege

Huko Mapadlocks alikuwa anaitishwa maji Ni longindo??

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…