mbedegalo mbeka
Member
- Mar 16, 2020
- 25
- 40
Nenda kwa magaidi wenzio..Znz inaunda shirika lake la ndege kwa hela za Tanzania... mpaka 2025 watakua na shirika lao la ndege .
Ccm watueleze huu muungano wanaoupogia debe una manufaa gani?
ATCL ni shirika la ndege la Tanganyika na sio la Tanganyika na Zanzibar.Hapana. Ni ndege za Tanzania.
Imeandikwa Zanzibar kwani imenunuliwa na wazanzibar?Ndege za Zanzibar kivipi Mkuu, kwani kuna Atcl nyingine Zanzibar?!
Kifupi huu muungano uvunjwe harakaMimi huwa najiuliza hivi ni kero gani za muungano ambazo kila siku tunaambiwa zimetatuliwa kisirisiri maana juzi eais wa zanzibar na waziri Jafo walikuwa wakiongea na kupongezana kuhusu kutatuliwa kwa kero nyingi toka mama samia amekuwa rais, tukumbuke wazanzibar waliondoa kinyemela swala la mafuta na gesi kuwa la muungano lakini mama samia alipoingia madarakani alienda kusaini haraka haraka mkataba wa bomba la gesi na kenya kwa gesi inayotoka Tanganyika.
Meli wanataka tugawane nusu kwa nusu ndege pia wanataka tuwape za kazi gani watanganyika tuamke tusiuze uhuru wetu kwani ndege zimenunuliwa kwa kodi za watanyika mbona meli zao kama za Mapinduzi hatuhusiki nazo ila za kwetu wanataka ziwe za kwao
Hivyo ni vivutio tu vya utalii. Kumbuka sio rahisi Mzungu aliyeisikia Zanzibar, akashawishika akaenda kuitembelea halafu huku Bara tukakosa kuambulia hiyo dola.Imeandikwa Zanzibar kwani imenunuliwa na wazanzibar?
Hii kitu wataalamu wa masoko tunaiita price strategy. Kitu ambacho watu wengi hawakiwezi.mimi nafikiri wangeanza kwa kuangalia gharama za uendeshaji ziwe realistic/competitive, then waweke bei rafiki kabisa mfano Arusha/dar 70,000shs flat rate; ili ndege ijae kila siku. Mbona ulaya wana hizo bei ($20/$30) na ndege kubwa zinaruka kila siku kati ya mji na mji na husikii wakilalamika kuwa wamepata hasara?
Huku kwetu ndege inafanywa anasa na hivyo kuwekwa bei isiyo rafiki hivyo route nyingi hazijai na kufanya ziende kwa hasara.
Unatoa ndege mpanda to Dar shs 300,000pp unapata abiria 35; Je ungechaji 100,000 ukapata abiria 170? kila siku
badala yake tunafuta route kuwa hailipi bila kuangalia kipato cha soko husika
Ni mtazamo tu
Posho mkuu posho hapo kuna watu watakuwa padiemu kwenda kwenye upokezi wa ndege Zanibar.Hoja yako ni muhimu sana, tunajiuliza haya mambo ya Muungano yanapelekwa kwa Rais wa Zanzibar ambaye hatukumchagua sisi.
😂😂😂Ndege zenyewe zinaenda Arusha,Kigoma na Mwanza zikitoka nje ya nchi ni India na China au mpaka zikodishwe na Yanga iende Nigeria.
Hizo hela zipelekeni kutengeneza barabara za vijijini wananchi wasafirishaji mizigo kwa unafuu,pelekeni zikajenge madaraja au kama zipo nyingi sana wakopesheni SUMA JKT,Magereza na Shirika la maendeleo la taifa(NDC) ili waanzishe mashamba ya michikichi na waanzishe viwanda vya kukamua mafuta ya mawese .Nchi ina mamilioni ya hekari lakini mafuta ya kupikia yanatoka Malaysia aibu sana hii.
Hakuna babu. Ni utendaji tu. Get ridwith the useless management pale ATCL. Nawjua nawamudu hakuna kitu pale except very few individuals ambao hawana nguvu ya decisionsKubadilisha jina kunaweza kuongeza ufanisi wa shirika la ndege ?
Mtanzania anayejiamini hawezi kuiona Zanzibar kama ni mzigo, hata siku moja haiwezi kutokea.Samia kaagiza ziwe za Zanzibar
Zanzibar ni mzigo mkubwa sana kwa Tanganyika
Nyerere alituuza utumwani kama ngamia
Nimekusoma mkuuHakuna babu. Ni utendaji tu. Get ridwith the useless management pale ATCL. Nawjua nawamudu hakuna kitu pale except very few individuals ambao hawana nguvu ya decisions
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kwanini zipokelewe Zanzibar ilhali ziliahizwa na JPM. Je kwenye ununuzi wa ndege Zanzibar ilichangia chochote kile. Jasho la watanganyika huliwa na wazanzibarNaam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Zile ndege zilinunuliwa na JPMSamia kaagiza ziwe za Zanzibar
Zanzibar ni mzigo mkubwa sana kwa Tanganyika
Nyerere alituuza utumwani kama ngamia
Tanganyika airwaysNi wakati wa kubadilisha jina la ATCL na kulibatiza shirika jina jipya Ili kuondoa hiyo laana saa liitwe SERENGETI AIRWAYS
Ndo kwenye dili za hela ndefuKati ya vitu tunakosea CCM nikununua midege