Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Hatujakosea, humo ndimo zilimo tonge zetu Za ugaliKati ya vitu tunakosea CCM nikununua midege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujakosea, humo ndimo zilimo tonge zetu Za ugaliKati ya vitu tunakosea CCM nikununua midege
KQ nalo ni shirika kubwa la ndege la kutolea kama mfano?Mashirika makubwa ya ndege kama SAA, KQ hata Emirates na KLM yamekuwa na changamoto kubwa za kibiashara na hata kufilisika.
Angalia SAA ya Afrika Kusini inajitahidi kufufuka kwa taabu kubwa, hili ni shirika lenye ndege zaidi ya 120 na hufanya safari zake popote duniani!
Isitoshe linamilikiwa kwa ubia na wazungu na serikali tajiri ya Africa Kusini. Sijui itakuwaje na ATCL yetu kama tu tunashindwa hapa nyumbani kuendesha TTCL na TANESCO kibiashara.
EthiopianShirika gani la serikali lenye afya?
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?
KQ nalo ni shirika kubwa la ndege la kutolea ka
Kwa Africa Mashariki KQ ndio shirika kubwa zaidi la ndege au unasemaje?
Tusipokuwa makini ipo siku tutapewa mihogo ya kukaanga, embe mbichi na pilipili😆😂Mkuu kwakuwa wapo pekee yao wanaweza kuamua wawahudumie watakavyo maana hakuna ushindani.
Kisa cha kuwaondoa Fast jet bado ni kitendawili
Ndiyo maana ya waoga wa kukosolewaTusipokuwa makini ipo siku tutapewa mihogo ya kukaanga, embe mbichi na pilipili[emoji38][emoji23]
Halafu "Hub" ya ATCL ni Dar es salaam!. Hata kama moja iliwahi kulala Mwanza "En route" haihalalishi hizi kupokelewa Zanzibar... Labda baada ya kumaliza route... Sherehe ya mapokezi ikafanyike Zanzibar, nitajaribu kuelewa lakini sioni mantiki.
Sio upuuzi zita saidia kitu flaniUpuuzi mtupu!
Wananchi kibamba na sehemu nyingi tu nchini wanakunywa maji ya tope!
Huu ndiyo wakati muafaka wa kununua ndege maana zimeshuka bei kwa nusu ,tusiwe wajinga inatakiwa tununue ndege nyingi kwa mikataba kwa bei ya sasa ambayo ni nafuuKtk ununuzi wa ndege kunaupigajinmwingi sana ndio maana wanakomaa sana kununua mandege yanayowapa hasara kwenye soko..
Mafuta na Gesi zipo ardhini lakin wamezipuuza, madini, na resources nyingi sana.. tunajitutumua kununua ndege
Hahahaaaaa...lol!!!Your IQ is too low to understand my post.
Nchi nzima itazizima kwa makopo... we are stupid and rubbish!NDEGE mbili aina ya Airbus za Shirika la Ndege la Tanzania ATCL zitawasili nchini Oktoba 8 na kupokelewa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema ndege hizo zimepewa majina ya Tanzanite na Zanzibar. Ndege hizo zitapokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar zikitokea Canada.
Kodi za bara zinatumika kununua ndege za Zanzibarzamu ya majirani zetu
Upuuzi mtupu!
Wananchi kibamba na sehemu nyingi tu nchini wanakunywa maji ya tope!