Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,412
Reaction score
6,279
ndege.jpg

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri, ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine

Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri. Vikosi vya Urusi vinasalia kushambulia maeneo kadhaa nchini Ukraine, na vimeshindwa kupiga hatua zaidi.

Hata hivyo wanajeshi wa Urusi wameendelea kufanya mashambulizi ya makombora na mabomu kwenye miundombinu muhimu. Wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakitumia vituo vya afya katika maeneo yanayokaliwa kuwatibu waliojeruhiwa.

Helikopta nne za Urusi ziliangushwa na vikosi vya Ukraine. Vikosi vya Ukraine vimefanikiwa kuzuia majaribio ya Urusi ya kuuteka mji wa bandari wa kusini wa Mariupol uliokuwa na ushindani mkubwa na hakujawa na dalili zozote za kutua kwa jeshi la Urusi katika eneo la Bahari Nyeusi.

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kutekeleza amri.
 
Naam

Ina maana Ukraine Army wameweza kuingilia mfumo wa mawasiliano ya kijeshi ya Urusi? Hatua kubwa.

Lakini mbona Urusi anasogea kimya kimya ndani ya Ukraine? Miji inatekwa na miundombinu ya kisheji ndani ya Ukraine inaharibiwa? Labda wanafanya movie hawa Warusi
 
View attachment 2151747

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri , ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine

Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila
Chanzo BBC hamna kitu hapo matango pori tu..mod hamisha huu uzi
 
Naam
Ina maana Ukraine Army wameweza kuingilia mfumo wa mawasiliano ya kijeshi ya Urusi? Hatua kubwa.

Lakini mbona Urusi anasogea kimya kimya ndani ya Ukraine? Miji inatekwa na miundombinu ya kisheji ndani ya Ukraine inaharibiwa? Labda wanafanya movie hawa Warusi
Mkuu bandari Mariupol imerudi mikononi mwa ukraine jamaa wana fight kimya kimya, mrusi yeye anapiga mabomu magorofa tu anadhan labda kuna watu ndio vita yake kubwa mpaka sasa hana technique
 
Ni kweli ila Urusi hakutatajia huu ugumu, hata mim nilijua kwa siku tatu ukrania itakuwa imekaa.

Ukiondoa mashambulizi kupitia ndege i.e Ukraine na yeye angekuwa na uwezo wa anga hii vita ingemalizwa kwa nyuklia kwani ground movement inakuwa shida sana
 
Mkuu bandari Mariupol imerudi mikononi mwa ukraine jamaa wana fight kimya kimya, mrusi yeye anapiga mabomu magorofa tu anadhan labda kuna watu ndio vita yake kubwa mpaka sasa hana technique
Kwani lini mrusi aliuchukua huo mji? Ndo kwanza bado anataka kuubeba sasa hapo kwenye kurudi inakuaje wakati mji bado haukuchukuliwa
 
View attachment 2151747

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri , ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine

Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri

Vikosi vya Urusi vinasalia kushambulia maeneo kadhaa nchini Ukraine , na vimeshindwa kupiga hatua zaidi

Hata hivyo wanajeshi wa Urusi wameendelea kufanya mashambulizi ya makombora na mabomu kwenye miundombinu muhimu

Wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakitumia vituo vya afya katika maeneo yanayokaliwa kuwatibu waliojeruhiwa

Helikopta nne za Urusi ziliangushwa na vikosi vya Ukraine

Vikosi vya Ukraine vimefanikiwa kuzuia majaribio ya Urusi ya kuuteka mji wa bandari wa kusini wa Mariupol uliokuwa na ushindani mkubwa na hakujawa na dalili zozote za kutua kwa jeshi la Urusi katika eneo la Bahari Nyeusi.

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kutekeleza amri.
source bbc,,,, kama sio rt, wion au sputnik= propaganda mfu
 
Tena BBC sheikh iyo,,unawaamini vipi hao wamagharibi!
 
Ivi kuna shambulio la Ukraine limefanywa nchini Urusi?
Wabongo watakuambia ni propaganda [emoji3]

Hawataki kuamini imekuwa tofaut na walivyokuwa wanataka.

Mwanzoni warusi wa kibongo walisema ndani ya masaa 48 tayali kazi kwisha.. haya karibu mwezi sasa[emoji16]
 
Kwahiyo mwisho wa siku Urusi itapigwa na Ukraine itaitawala Urusi...?
Mkuu vita inapiganwa Ukraine yaani ardhi ya Ukraine, kule Russia hakuna vita isipokuwa warusi wanaandama kule kumtaka huyu kichwa cha mwendaazimu aache vita maana warusi wengi wana ndugu zao ukraine, halafu saivi Russia kuna ukata vikwazo vya magharibi vinawaumbua mtu mmoja mmoja kule na makampuni yanaanguka uchumi wao unadorora.

Sema kama warusi chokochoko zao ikibidi vipigwe vita vya tatu dunia basi ngoma itachezwa kweye ardhi ya Urusi na siyo Ukraine kwa mujibu wa Rais Joe Biden Rais wa marekani, lakin Mungu atuepushe na hiyo vita itaathiri ulimweng mzima
 
View attachment 2151747

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri , ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine

Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri

Vikosi vya Urusi vinasalia kushambulia maeneo kadhaa nchini Ukraine , na vimeshindwa kupiga hatua zaidi

Hata hivyo wanajeshi wa Urusi wameendelea kufanya mashambulizi ya makombora na mabomu kwenye miundombinu muhimu

Wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakitumia vituo vya afya katika maeneo yanayokaliwa kuwatibu waliojeruhiwa

Helikopta nne za Urusi ziliangushwa na vikosi vya Ukraine

Vikosi vya Ukraine vimefanikiwa kuzuia majaribio ya Urusi ya kuuteka mji wa bandari wa kusini wa Mariupol uliokuwa na ushindani mkubwa na hakujawa na dalili zozote za kutua kwa jeshi la Urusi katika eneo la Bahari Nyeusi.

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kutekeleza amri.
Russia ikiishindwa Ukraine, itawapa nguvu sana mabeberu kuishambulia Russia.
Na kama kweli Russia kazidiwa, Leo hii kusingekua na porojo nyingi mtandaoni.
Even NATO, they are seeking information kujua capacity na strength ya Russia, otherwise wangekwisha ingia kwenye field.
WanaJF wengi kumbe wana akili kama za Zelensky, unaambiwa jambo unapeleka kama lilivyo. Ngoja mtiwe adabu kwanza.
 
Back
Top Bottom