Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

Russia ikiishindwa Ukraine, itawapa nguvu sana mabeberu kuishambulia Russia.
Na kama kweli Russia kazidiwa, Leo hii kusingekua na porojo nyingi mtandaoni.
Even NATO, they are seeking information kujua capacity na strength ya Russia, otherwise wangekwisha ingia kwenye field.
WanaJF wengi kumbe wana akili kama za Zelensky, unaambiwa jambo unapeleka kama lilivyo. Ngoja mtiwe adabu kwanza.
Hakuna aliyesema russia kazidiwa lakini lazima ufahamu Russia wamepata upinzani wasioutegemea kusonga mbele zaid kwenye miji ya Kiev
 
Mkuu bandari Mariupol imerudi mikononi mwa ukraine jamaa wana fight kimya kimya, mrusi yeye anapiga mabomu magorofa tu anadhan labda kuna watu ndio vita yake kubwa mpaka sasa hana technique
Hadi sasa sijaona sababu ya Urusi kuendelea na vita
 
Unataka tukuamini ww mtu wa gongo la mboto??

Sawa endelea kuamini wamagharibi wanaoendelea kuzichafua nchi za kiarabu na afrika. Wakati iraq, libya, Afghanistan na palestina zinavamiwa na kuuwa watu waco na hatia, baadhi ya viongozi wao pia waliuawa, je! Ulithubutu kuweka kibendera chao?
 
View attachment 2151747

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri , ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine

Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri

Vikosi vya Urusi vinasalia kushambulia maeneo kadhaa nchini Ukraine , na vimeshindwa kupiga hatua zaidi

Hata hivyo wanajeshi wa Urusi wameendelea kufanya mashambulizi ya makombora na mabomu kwenye miundombinu muhimu

Wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakitumia vituo vya afya katika maeneo yanayokaliwa kuwatibu waliojeruhiwa

Helikopta nne za Urusi ziliangushwa na vikosi vya Ukraine

Vikosi vya Ukraine vimefanikiwa kuzuia majaribio ya Urusi ya kuuteka mji wa bandari wa kusini wa Mariupol uliokuwa na ushindani mkubwa na hakujawa na dalili zozote za kutua kwa jeshi la Urusi katika eneo la Bahari Nyeusi.

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kutekeleza amri.
Nimesubri au video ya hizo ndege zlizoangushwa sioni mpaka nimeamua kuandika.

Toa picha basi
 
Acha tabia ya kukopi bbc na kuleta jamii forums
We need fresh news
 
Sawa endelea kuamini wamagharibi wanaoendelea kuzichafua nchi za kiarabu na afrika. Wakati iraq, libya, Afghanistan na palestina zinavamiwa na kuuwa watu waco na hatia, baadhi ya viongozi wao pia waliuawa, je! Ulithubutu kuweka kibendera chao?
Aliyefanya uharamia wa mauwaji nchi kiarabu na waislamu ni Marekani., hii vita ya Ukraine anayeuwa watu waso na hatia ni Russia mtu anaitwa Putin lazima alaaniwe na yeye
 
Wabongo watakuambia ni propaganda [emoji3]

Hawataki kuamini imekuwa tofaut na walivyokuwa wanataka.

Mwanzoni warusi wa kibongo walisema ndani ya masaa 48 tayali kazi kwisha.. haya karibu mwezi sasa[emoji16]
Akina Bwana utam hawana hamu, Warusi hawaamini
 
Back
Top Bottom