Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

Mkuu vita inapiganwa Ukraine yaani ardhi ya Ukraine, kule Russia hakuna vita isipokuwa warusi wanaandama kule kumtaka huyu kichwa cha mwendaazimu aache vita maana warusi wengi wana ndugu zao ukraine, halafu saivi Russia kuna ukata vikwazo vya magharibi vinawaumbua mtu mmoja mmoja kule na makampuni yanaanguka uchumi wao unadorora.

Sema kama warusi chokochoko zao ikibidi vipigwe vita vya tatu dunia basi ngoma itachezwa kweye ardhi ya Urusi na siyo Ukraine kwa mujibu wa Rais Joe Biden Rais wa marekani, lakin Mungu atuepushe na hiyo vita itaathiri ulimweng mzima
Sioni kama ww3 inaepukika mkuu endapo buyu kichwa panzi hataacha vita
 
Russia ikiishindwa Ukraine, itawapa nguvu sana mabeberu kuishambulia Russia.
Na kama kweli Russia kazidiwa, Leo hii kusingekua na porojo nyingi mtandaoni.
Even NATO, they are seeking information kujua capacity na strength ya Russia, otherwise wangekwisha ingia kwenye field.
WanaJF wengi kumbe wana akili kama za Zelensky, unaambiwa jambo unapeleka kama lilivyo. Ngoja mtiwe adabu kwanza.
Mbona nawe akili zako kama za Mange?
 
Hadi sasa sijaona sababu ya Urusi kuendelea na vita
wewe hujui faida yakuendelea na hio vita nakwataarifa tu RUSSIA mpaka aangushe hio serikali
maana kwenye mazungumzo kueka takwa la CRIMEA kutambulika kikatiba kama sehemu ya RUSSIA maana yake nikwamba hataki kusimamisha vita sababu niwazi UKRAINE hawawezi wakakubali
UKRAINE aendelee kupigwa ndio faida zaidi
 
No Fly Zone ikipitishwa na NATO Urusi ataaibika
kwaunavyo hisi kuna nchi inaweza kufanya huo utoto didi ya RUSSIA ikawa salama?
kama unawaza hilo kutokea waza tena wazo lako
 
Picha quality mbovu .
Majina na umbali vinaonekana.

Wanataharuki tu na kuvizia taarifa jamaa wapoje .

FB_IMG_16473441103414563.jpg
 
Wamejuaje kuwa wanajeshi wamegoma kupokea amri?
Hata niwewe wenzako wametunguliwa utakubali urushe ndege Ili kamanda ajue adui kajfcha wap imean uwe chambo ,, wanajesh bhna🤣🤣🤣
 
Wabongo watakuambia ni propaganda [emoji3]

Hawataki kuamini imekuwa tofaut na walivyokuwa wanataka.

Mwanzoni warusi wa kibongo walisema ndani ya masaa 48 tayali kazi kwisha.. haya karibu mwezi sasa[emoji16]
Kuna Watanzania walishabikia mwanzoni kama Putin ni Godfather wao. Day 20....Zelewensky is a leader against all odds.
 
View attachment 2151747


Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri , ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine

Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri

Vikosi vya Urusi vinasalia kushambulia maeneo kadhaa nchini Ukraine , na vimeshindwa kupiga hatua zaidi

Hata hivyo wanajeshi wa Urusi wameendelea kufanya mashambulizi ya makombora na mabomu kwenye miundombinu muhimu

Wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakitumia vituo vya afya katika maeneo yanayokaliwa kuwatibu waliojeruhiwa

Helikopta nne za Urusi ziliangushwa na vikosi vya Ukraine

Vikosi vya Ukraine vimefanikiwa kuzuia majaribio ya Urusi ya kuuteka mji wa bandari wa kusini wa Mariupol uliokuwa na ushindani mkubwa na hakujawa na dalili zozote za kutua kwa jeshi la Urusi katika eneo la Bahari Nyeusi.

Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kutekeleza amri.
huyu mbbc alikuambia madhara ya upande mwingine? ... hii vita si simba na yanga
 
Back
Top Bottom