Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Asije kujilipua bureWanajeshi wazee makamanda wa vita wa Russia waliopigana vita kibao hiyo vita hawataki
Putin his days are numbered
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asije kujilipua bureWanajeshi wazee makamanda wa vita wa Russia waliopigana vita kibao hiyo vita hawataki
Putin his days are numbered
Sioni kama ww3 inaepukika mkuu endapo buyu kichwa panzi hataacha vitaMkuu vita inapiganwa Ukraine yaani ardhi ya Ukraine, kule Russia hakuna vita isipokuwa warusi wanaandama kule kumtaka huyu kichwa cha mwendaazimu aache vita maana warusi wengi wana ndugu zao ukraine, halafu saivi Russia kuna ukata vikwazo vya magharibi vinawaumbua mtu mmoja mmoja kule na makampuni yanaanguka uchumi wao unadorora.
Sema kama warusi chokochoko zao ikibidi vipigwe vita vya tatu dunia basi ngoma itachezwa kweye ardhi ya Urusi na siyo Ukraine kwa mujibu wa Rais Joe Biden Rais wa marekani, lakin Mungu atuepushe na hiyo vita itaathiri ulimweng mzima
Mbona nawe akili zako kama za Mange?Russia ikiishindwa Ukraine, itawapa nguvu sana mabeberu kuishambulia Russia.
Na kama kweli Russia kazidiwa, Leo hii kusingekua na porojo nyingi mtandaoni.
Even NATO, they are seeking information kujua capacity na strength ya Russia, otherwise wangekwisha ingia kwenye field.
WanaJF wengi kumbe wana akili kama za Zelensky, unaambiwa jambo unapeleka kama lilivyo. Ngoja mtiwe adabu kwanza.
waringe[emoji848]Ivi kuna shambulio la Ukraine limefanywa nchini Urusi?
wewe hujui faida yakuendelea na hio vita nakwataarifa tu RUSSIA mpaka aangushe hio serikaliHadi sasa sijaona sababu ya Urusi kuendelea na vita
kwaunavyo hisi kuna nchi inaweza kufanya huo utoto didi ya RUSSIA ikawa salama?No Fly Zone ikipitishwa na NATO Urusi ataaibika
leta habari ila napendelea chanzo kiwe kutokea BBCNdio wamefanya mashambulizi mengi sana
Hata niwewe wenzako wametunguliwa utakubali urushe ndege Ili kamanda ajue adui kajfcha wap imean uwe chambo ,, wanajesh bhna🤣🤣🤣Wamejuaje kuwa wanajeshi wamegoma kupokea amri?
kuamini nini vita sio kulala nakuamkaAkina Bwana utam hawana hamu, Warusi hawaamini
Kuna Watanzania walishabikia mwanzoni kama Putin ni Godfather wao. Day 20....Zelewensky is a leader against all odds.Wabongo watakuambia ni propaganda [emoji3]
Hawataki kuamini imekuwa tofaut na walivyokuwa wanataka.
Mwanzoni warusi wa kibongo walisema ndani ya masaa 48 tayali kazi kwisha.. haya karibu mwezi sasa[emoji16]
huyu mbbc alikuambia madhara ya upande mwingine? ... hii vita si simba na yangaView attachment 2151747
Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri , ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine
Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri
Vikosi vya Urusi vinasalia kushambulia maeneo kadhaa nchini Ukraine , na vimeshindwa kupiga hatua zaidi
Hata hivyo wanajeshi wa Urusi wameendelea kufanya mashambulizi ya makombora na mabomu kwenye miundombinu muhimu
Wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakitumia vituo vya afya katika maeneo yanayokaliwa kuwatibu waliojeruhiwa
Helikopta nne za Urusi ziliangushwa na vikosi vya Ukraine
Vikosi vya Ukraine vimefanikiwa kuzuia majaribio ya Urusi ya kuuteka mji wa bandari wa kusini wa Mariupol uliokuwa na ushindani mkubwa na hakujawa na dalili zozote za kutua kwa jeshi la Urusi katika eneo la Bahari Nyeusi.
Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kutekeleza amri.