Hakuna aliyesema russia kazidiwa lakini lazima ufahamu Russia wamepata upinzani wasioutegemea kusonga mbele zaid kwenye miji ya KievRussia ikiishindwa Ukraine, itawapa nguvu sana mabeberu kuishambulia Russia.
Na kama kweli Russia kazidiwa, Leo hii kusingekua na porojo nyingi mtandaoni.
Even NATO, they are seeking information kujua capacity na strength ya Russia, otherwise wangekwisha ingia kwenye field.
WanaJF wengi kumbe wana akili kama za Zelensky, unaambiwa jambo unapeleka kama lilivyo. Ngoja mtiwe adabu kwanza.
Kuna mmoja kasema hivyo akidai anapata information kutoka CIA agency aliyeko USAHakuna aliyesema russia kazidiwa lakini lazima ufahamu Russia wamepata upinzani wasioutegemea kusonga mbele zaid kwenye miji ya Kiev
Hadi sasa sijaona sababu ya Urusi kuendelea na vitaMkuu bandari Mariupol imerudi mikononi mwa ukraine jamaa wana fight kimya kimya, mrusi yeye anapiga mabomu magorofa tu anadhan labda kuna watu ndio vita yake kubwa mpaka sasa hana technique
No Fly Zone ikipitishwa na NATO Urusi ataaibikaNi kweli ila Urusi hakutatajia huu ugumu, hata mim nilijua kwa siku tatu ukrania itakuwa imekaa.
Ukiondoa mashambulizi kupitia ndege i.e Ukraine na yeye angekuwa na uwezo wa anga hii vita ingemalizwa kwa nyuklia kwani ground movement inakuwa shida sana
Unataka tukuamini ww mtu wa gongo la mboto??
Ndio wapitishe sasa. Tuone kandanda safi.No Fly Zone ikipitishwa na NATO Urusi ataaibika
Nimesubri au video ya hizo ndege zlizoangushwa sioni mpaka nimeamua kuandika.View attachment 2151747
Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri , ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine
Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri
Vikosi vya Urusi vinasalia kushambulia maeneo kadhaa nchini Ukraine , na vimeshindwa kupiga hatua zaidi
Hata hivyo wanajeshi wa Urusi wameendelea kufanya mashambulizi ya makombora na mabomu kwenye miundombinu muhimu
Wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakitumia vituo vya afya katika maeneo yanayokaliwa kuwatibu waliojeruhiwa
Helikopta nne za Urusi ziliangushwa na vikosi vya Ukraine
Vikosi vya Ukraine vimefanikiwa kuzuia majaribio ya Urusi ya kuuteka mji wa bandari wa kusini wa Mariupol uliokuwa na ushindani mkubwa na hakujawa na dalili zozote za kutua kwa jeshi la Urusi katika eneo la Bahari Nyeusi.
Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kutekeleza amri.
Acha tabia ya kukopi bbc na kuleta jamii forumsView attachment 2151747

Ndio wamefanya mashambulizi mengi sanaIvi kuna shambulio la Ukraine limefanywa nchini Urusi?
Aliyefanya uharamia wa mauwaji nchi kiarabu na waislamu ni Marekani., hii vita ya Ukraine anayeuwa watu waso na hatia ni Russia mtu anaitwa Putin lazima alaaniwe na yeyeSawa endelea kuamini wamagharibi wanaoendelea kuzichafua nchi za kiarabu na afrika. Wakati iraq, libya, Afghanistan na palestina zinavamiwa na kuuwa watu waco na hatia, baadhi ya viongozi wao pia waliuawa, je! Ulithubutu kuweka kibendera chao?
Kwani Mod wako Ukraine?Chanzo BBC hamna kitu hapo matango pori tu..mod hamisha huu uzi
Akina Bwana utam hawana hamu, Warusi hawaaminiWabongo watakuambia ni propaganda [emoji3]
Hawataki kuamini imekuwa tofaut na walivyokuwa wanataka.
Mwanzoni warusi wa kibongo walisema ndani ya masaa 48 tayali kazi kwisha.. haya karibu mwezi sasa[emoji16]