Ndege-vita b-1 lancer strategic bomber ikielekea mashariki ya kati tayari kwa kazi maalum!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
B-1 Ndege-Vita ya Kimkakati kutoka Marekani nayo inaelekea huko Mashariki ya kati ili kuungana na Baba wa madege yote B-52 watakuwa huko Mashariki ya kati kusubiri kupangiwa kazi ya kufanya Katika eneo hilo!!! Safari hii kuna jibu lazima lipigwe!!!!
 
Kwamba B52 stratophotress ni baba was made very yote? Amekwambia nani?
 
Ukiacha B2 na B1 lancer kipi kingien usa anajivunia
 
Nipe sababu ya bOeng 52 kuwa baba wa madege yote
Ilionekana kama umepinga ndiyo maana nikabu uliza wewe ulikuwa unajua Baba wa Madege-Vita yote ni nani? Nilitarajia wewe unijibu ili na Mimi nikuelezee kwa nini B-52 ni Baba wa madege-Vita yote!!
 
Hio ni show of force elewa ni kwa ajili ya show, ni USA kuonyesha ukubwa wake kijeshi, lakini usifikiri hio ndege zitakwenda kushambulia Iran hilo sahau.
Russia na wao wana hayo mandege makubwa nadhani yanaitwa Tupolev, hizo ndege ni wek kwa nchi kama Iran.
 
Mbwa koko Tramp na Marekani yake kashindwa Yemen ataweza Iran Bahati mbaya Muiran anaga nizan ya uwoga akikwambia anakubutua ujipange kubutuliwa anaga maneno mengi!!!!
 
Ma ayatollah solution ni kuufyata
Tramp ndio mwenye Sifa za kuufyata kumbuka baada ya Iran kubutua kambi zake uko Iraq!!!!

uyu Tramp kabla ajapigwa alidai nikiguswa tu Chamoto watakipata Iran mwisho katoka mbioo..
 
Wewe mporopori sijui mlugaluga, yaani unaokoteza tupicha mitandaoni unadhani uko fecibuku hapa.....
 
“ Nathani yanaitwa Tupolew”!,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…