kibabu mtoto
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 138
- 171
Dogo, jibu swali kabla hujauliza swaliWewe ulikuwa unajua Baba wa madege-Vita yote ni nani? Na kwa nini?
Dogo, jibu swali kabla hujauliza swaliWewe ulikuwa unajua Baba wa madege-Vita yote ni nani? Na kwa nini?
Ni kweli maana aliahidi kumpiga Israel na kweli kashapiga True Promise 3😂😂😂Mbwa koko Tramp na Marekani yake kashindwa Yemen ataweza Iran Bahati mbaya Muiran anaga nizan ya uwoga akikwambia anakubutua ujipange kubutuliwa anaga maneno mengi!!!!
Mlisema Israel akiingia Gaza tu ame cross red line, na atauona moto wa Iran. Kilichotokea unakijua Hadi Leo.Tramp ndio mwenye Sifa za kuufyata kumbuka baada ya Iran kubutua kambi zake uko Iraq!!!!
uyu Tramp kabla ajapigwa alidai nikiguswa tu Chamoto watakipata Iran mwisho katoka mbioo..