Ndege-vita b-1 lancer strategic bomber ikielekea mashariki ya kati tayari kwa kazi maalum!!

Activate missile launcher babu yangu mavilemba.
 
Mbwa koko Tramp na Marekani yake kashindwa Yemen ataweza Iran Bahati mbaya Muiran anaga nizan ya uwoga akikwambia anakubutua ujipange kubutuliwa anaga maneno mengi!!!!
Ni kweli maana aliahidi kumpiga Israel na kweli kashapiga True Promise 3πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tramp ndio mwenye Sifa za kuufyata kumbuka baada ya Iran kubutua kambi zake uko Iraq!!!!

uyu Tramp kabla ajapigwa alidai nikiguswa tu Chamoto watakipata Iran mwisho katoka mbioo..
Mlisema Israel akiingia Gaza tu ame cross red line, na atauona moto wa Iran. Kilichotokea unakijua Hadi Leo.

Mara ooo, Israel acheze kote Lakini akiigiaa Hesbollah ndio mwisho wake. Kilichotokea mnakijua.

Sasa mnakuja tena, Marekani kamshindwa Houth ndio atamweza Iran? Ajaribu ajaribu aone. Subiri dawa iive!

Magaidi hayataachwa yaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…